Tuesday, June 09, 2009

Shindano kwa Kaka Michuzi


Wadau, kuna shindano ya kutunga caption ya hii picha kwa Kaka Michuzi!

Mbavu sina! Sasa huyo simba anashangaa au?

6 comments:

  1. Mtume! Mzungu kapona kweli?

    ReplyDelete
  2. UWIIIII! Nakufa kwa vicheko!

    ReplyDelete
  3. anamngoja avae nguo kwanza kisha amnyake kwa nyuma

    ReplyDelete
  4. Sasa huyo simba anasubiri zungu amalize kunya nini?

    ReplyDelete
  5. PHOTO SHOP 100%

    ReplyDelete