Thursday, August 20, 2009

Kaza Mkanda!


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Bwana William Lukuvi na kamanda wa polisi, Bwana Sule Kova, wakimshauri dereva wa teksi wa Temeke, Saidi. Walimshauri kuhusu lishe bora. Walimwambia apungunze kula vyakula vyenye starches kama ugali na aongeze kule vyakula vya maboga. Kamanda Kova alimwambia kuwa polisi watakuwa makini naye kusudi asizidishe uzito hivyo gari lake itenda kwa shida.

6 comments:

  1. Jamaa ana matako kama mwanamke. Lakini hiyo suruali mhhhh!

    ReplyDelete
  2. Pepe Kalle kafufuka!

    ReplyDelete
  3. Pepe kale haswa!

    ReplyDelete
  4. tako lake lina mvutooooo!!!!

    ReplyDelete
  5. Kashiba kweli! Kanikumbusha Peppe Kalle kweli!

    ReplyDelete