Thursday, January 14, 2010

Kula Chakula kutoka Kwenye Choo!

Hizi picha ni kutoka Modern Toilet Restaurant huko Taipei, Taiwan. Viti vya kukalia ni vyoo vya kizungu. Napkins ni toilet paper, meza ni bathtubs. Hebu mtazame hizi picha. Mimi mwenyewe natamani kutapika nikiwaza kula kula chakula hapo. Wateja 100 wanaweza kuingia kwa mpigo.









7 comments:

  1. Hapana jamani! Kula chakula kutoka kwenye choo! NO WAY!

    ReplyDelete
  2. hizo ni kaure sawa na sahani za kawaida. la msngi ziwe zinatumika tangu upya wake

    ReplyDelete
  3. Bado sijala hapo. hebu imagaine. Unakula ugali kutoka kwenye choo! HELL NO!

    ReplyDelete
  4. sina shida na hivyo vingine lakini hizo za ice cream hapana. zimefanana kabisa na nanihii

    ReplyDelete
  5. si vinakua vipya na havijatumiwa kama vyoo? Hakuna tabu yoyote

    ReplyDelete
  6. yaani mtu unakula huku una-imagine something kitapita kweli?

    ReplyDelete