Wednesday, June 16, 2010

Mama Che-Mponda Asherekea 70th Birthday

Mama yangu mzazi amesherekea miaka 70 ya kuzaliwa, huko Maryland

HAPPY BIRTHDAY MOM!

Wazazi wangu, Dr. Aleck & Rita Che-Mponda

Tulienda kula Brunch pale National Harbor, Mzee George Washington (rais wa kwanza wa Marekani) na Mke wake Martha walitusalimia. (Hao ni waigizaji)
Wazee wakipumzika pale National Harbor
Mama na mabinti zake pamoja na Mjukuu Caleb (Mtoto wa mdogo wangu Malaika)

8 comments:

  1. Hongera mama nakutakia maisha marefu! Da Chemi mama naonekana kijana kuliko wewe punguza mafuta dada uwe kama mama!

    ReplyDelete
  2. mama yako ni mzuri sana da Chemi Hongera

    ReplyDelete
  3. Jamani, the mom at 70 yuko hivyo! Mungu aendelee kumpigania na kumjaalia afya njema...Da Chemi, siamini kama mwili huo wa mama utaupata..

    ReplyDelete
  4. Nampa Hongera mama yako Chemi. Nimemwona tokea mkiwa wadogo niksoma Mlimani. Kilichonivutia kwake ni pale alpokuwa akienda kuwasalimia ndugu zenu Manzese akipanda UDA. Muwe na upendo kama yeye kwa ndugu wa hali zote. Happy Birthday Madam

    ReplyDelete
  5. Mnajipenda na mmependeza. Kaka yenu yuko wapi?

    ReplyDelete
  6. Chemi jamani mama kwapita wote kwa uzuri na Model duuuu... kweli nimempenda mmama yako Da Chemi.
    Asante kwa picha za mwanao kuoa na Hongera sana !

    ReplyDelete
  7. Wow! Lovely mum
    Happy Birthday Mrs Che Mponda

    ReplyDelete
  8. CHEMPONDA HUZEEKI NAKUMBUKA ENZI NILIPKUWA NASOMA CHUO KUKUU.HONGERA KWA KUPATA MKWE.

    ReplyDelete