Thursday, September 02, 2010

Simu ya Kifo Yatokea Kweli Kenya!!!

Eti ukipokea simu kutoka kwa namba fulani huko Kenya, ubongo utapasuka. Uvumi unasema kuwa watu zaidi ya elfu moja wamekufa. Imebidi serikali ya Kenya iingilie!!!


3 comments:

  1. Nilidhani wakenya wameendelea. Kumbe wana mawazo ya kitoto. Kuipokea simu ndo inakuaje, risasi zinapita?

    ReplyDelete
  2. Tanzania ingekuwa BALAA! Watu wangechinjana kabisa kwa kusema fulani anataka kuwaloga!

    ReplyDelete
  3. ilikuwa namna ya kuwafanya watu wapige simu. hapa simu imekuwa very cheap kumpigia mwingine, waongea hadi maneno kuisha

    ReplyDelete