Monday, October 04, 2010

Mshiko Pennsylvania - Swahili Interpreter Needed

Wadau,

Kuna kazi ya kutafsiri huko Wilkes-Barre Pennsylvania siku ya jumatatu, 18/10/10.

Wasiliana na Dada Tia ili akupe habari zaidi. Kazi inalipa.

tswerifakhouri@lsaweb.com

2 comments:

  1. kutoka lugha gani kwenda kiswahili? mbona hujasema?

    ReplyDelete
  2. Ukiona hivyo mamboo yanaanza kuiva..tukikuzeni na kukitangaza Kiswahili, mwisho wa siku kitakuwa miongoni mwa lugha za kimataifa na hatutalazimishana kuifunza lugha za kigeni, `ili uonekane umesoma'

    ReplyDelete