Wednesday, December 22, 2010

Ramani Ya Africa


6 comments:

  1. Inapendeza, nimeitumia kuipamba blogu yangu. Asante kwa kuibandika.

    ReplyDelete
  2. Ingenoga sana tu ZAIDI kama ramani hii ingekuwa imechorwa hivyo na WAAFRIKA!

    Hivi lini Tanzania na Malawi watamaliza migogoro ya mpaka kwenye ZIwa NYASA/Lake MALAWI?

    ReplyDelete
  3. Nawaza kama Africa ingekuwa moja, nawaza kwamba ingeitwa United State of Africa...mmh nahis mawazo hayo yalikufa na akina Patrice Lumuba, Nyerere nk.
    Kweli inapendeza sana! Laki mgawanyo huo ulikuwa na maana yake gawanya ili tupate urahisi wa kutawala au sio!

    ReplyDelete
  4. Katika ramani hii kwa leo Ivory Coast inaonekana zaidi!

    ReplyDelete
  5. mbona bendera ya zanzibar haijaonyeshwa?

    ReplyDelete
  6. Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) iliyotumika ni ya zamani. Kwa sasa DRC wana bendera nyingine

    ReplyDelete