Thursday, January 13, 2011

Tunapambana na Theluji na Barafu!






Ni msimu wa winter (Baridi) hapa Marekani. Tunatamani joto la Dar. Hizi picha nilipiga hapa Cambidge, Massachusetts leo asubuhi.

6 comments:

  1. Duh!kumbe na Marekani kumekucha kama hapa Finland.

    ReplyDelete
  2. usitamani joto la nyumbani. mimi nilikuwa huko hadi trh 10 jan. ni joto balaa. tena umeme wa kukatika katika na shida ya maji. nipo nje sasa ni baridi lkn ukivaa mavazi mazito na heater hali ni poa.

    ReplyDelete
  3. Jana niliteleza kwenye black ice na kuanguka! Goti inaniuma kweli. Spring/Summer njoo!

    ReplyDelete
  4. Jamani heri hiyo baridi kuliko joto la hapa Bongo. Ninyi huko mna vifaa vya kupambana na hali hiyo. Huku joto ni kali sana na hakuna umeme.

    ReplyDelete