Saturday, January 08, 2011

Zilipendwa - Shauri Yako na Orchestra Super Mazembe



Wadau mnakumbuka huu wimbo...SHAURI YAKO!!!!

3 comments:

  1. Umenikumbusha mbali kweli, asante kwa kipande hiki.

    ReplyDelete
  2. Kweli shauri yako...marejeo ya ubongo , yanatukumbusha mbali...shukurani sana!

    ReplyDelete
  3. Super Mazembe ni baadhi tu ya wanamuziki waliorekodi upya kibao hiki. Wimbo huu ni wa mwanamuziki Nguashi Ntimbo aliourekodi na kundi lake la Festival du Zaire mwaka 1980. Unaweza kuupata wimbo huu original katika link hii http://www.youtube.com/watch?v=IEe7GKJr7lk

    ReplyDelete