Hongera sana kwa kutuletea historia yetu wakati wa kipindi hiki cha mjerumani. Watu wengi Tanzania sio wasomi wa historia na watu wengi hawajui kabisa kilichotokea na historia iliyochangia kutufikisha hapa tulipo. keep up the good work.
Picha ya Meli hapo juu ni hiyo hiyo Konisberg. Manowari hii bomba tatu haikuwahi kwenda lake Nyasa wala Victoria.
Meli hii ilipigana vita bahari ya hindi na mwisho wake iliharibiwa na wajerumani wenyewe Mto Rufiji baada ya kuwekewa "blockade" na waingereza katika juhudi za kuiangamiza. Mwenzake alikuwa ni MHS somali naye amezamishwa maeneo ya kusini Tanzania bahari ya hindi
Hongera sana kwa kutuletea historia yetu wakati wa kipindi hiki cha mjerumani. Watu wengi Tanzania sio wasomi wa historia na watu wengi hawajui kabisa kilichotokea na historia iliyochangia kutufikisha hapa tulipo. keep up the good work.
ReplyDeleteMchungaji Dar es salaam
Picha ya Meli hapo juu ni hiyo hiyo Konisberg. Manowari hii bomba tatu haikuwahi kwenda lake Nyasa wala Victoria.
ReplyDeleteMeli hii ilipigana vita bahari ya hindi na mwisho wake iliharibiwa na wajerumani wenyewe Mto Rufiji baada ya kuwekewa "blockade" na waingereza katika juhudi za kuiangamiza. Mwenzake alikuwa ni MHS somali naye amezamishwa maeneo ya kusini Tanzania bahari ya hindi
Sasa naanza kuelewa, kumbe ule mnara wa askari kimavazi anafanana na askari hawa!
ReplyDelete