Friday, July 26, 2013

Onyo Kwa Wanapoenda Kusuka Mwenge

Nimetoa hii onyo Facebook. Sijui kama kuna ukweli ndani yake lakini miaka ya 1980's kitu kama kii ilitokea Manzese.


9 comments:

  1. Oh hoooo! Ndo maana mama fulani alienda kusuka Mwenge na alivyotoka kaseme kichwa kinamwuma sana mwisho kawa kama mwehu!

    ReplyDelete
  2. Askofu Dhakri KikobeJuly 27, 2013 8:00 AM

    Mtu anayeamini miujiza ya kakobe, au babu wa loliondo; ndiye anayeweza kuandika utumbo kama huu.

    ReplyDelete
  3. I believe the headaches are caused by the braiding being too tight, AND/or a bit of poison administered (on purpose) in drinks offered to the clients (wanaosukwa)~ I doubt it though, OR some kind of oil (INNOCENTLY and UNKNOWINGLY, containing some kind of poisonous chemicals) placed on the scalp.

    Other than that, I DON'T think it's anything to do with 'majini' NOR witchcraft.

    ReplyDelete
  4. kuharibiana biashara tu hamna lolote..karne hii 21 mtu unaweza kuwaza utumbo huu kweli???

    ReplyDelete
  5. Whoever wrote this needs to have his/her head examined. Tanzania itabaki nyuma daima kama tutaendelea kukumbatia ujinga kama huu.

    ReplyDelete
  6. Bongo bado tuko Zama za Mawe (Stone Age).

    ReplyDelete
  7. Miaka iliyopita, Tanzania ilikuwa inaendelea (MBELE) vizuri. Siku hizi, ni kama inazidi KURUDI NYUMA!

    ReplyDelete
  8. COINCIDENCE COINCIDENCE COINCIDENCE!

    ReplyDelete
  9. Jamani tunashangaa nini wakati Watanzania bado tunaamini ushirikina? Siku hizi kila mahali Dar es Salaam kuna vibao vinavyotangaza huduma za waganga wa kienyeji. Si ajabu kuona kibao kinachosema, kwa mfano:

    DR TIMBWILI KUTOKA SUMBAWANGA
    * UTAJIRI
    * KUPANDISHWA CHEO
    * KUMVUTA MPENZI
    * NGUVU ZA KIUME
    * BIASHARA
    * KISUKARI
    * UKIMWI
    PIA ANAINGIZA AKILI ZA DARASANI KICHWANI

    ReplyDelete