Friday, July 05, 2013

Usiniite Bebi! -Katuni


3 comments:

  1. mambo ya bebi wanaweza wazungu au waafrika wanaopenda uzungu uzungu, kwa mswahili pyuwa kuitana bebi ,han, swit ni ya kitambo tu, mara nyingi mwanamke akishapata mtoto jina la bebi hukoma anaanza itwa mama nanihii...

    ReplyDelete
  2. Hii kali, lugha gongana! Basi muite DADIII

    ReplyDelete