Tuesday, March 18, 2014

Watalii Kutoka Marekani Jamaica

Hao akina dada warembo kutoka Atlanta, Georgia  Marekani walienda Jamaica likizo.  Waliamua kupiga picha wakiwa beach Montego Bay.  Walitamba na bikini zao!


16 comments:

  1. OMG! Good advert or educational warning for kids (and adults, I guess) to stay away from FAST JUNK FOOD... esp stuff from McD's and the like.

    ReplyDelete
  2. Khaa! Warembo?.

    Kiswahili ni lugha yetu, ila kwa hili neno "Urembo" naona linanitatiza.

    ReplyDelete
  3. Usije ukawaambie si warembo! Watakukalia!

    ReplyDelete
  4. Daymn they must weight like 400 lbs each! True Big Momma's!

    ReplyDelete
  5. Jamani... kwanini hawafuniki hayo matumbo yanayo ning'inia? Big is beautiful, but not like that!!! Kama mtu alivyosema hapo juu, watatukalia and smother us to smithereens :)

    ReplyDelete
  6. Wafunike nini? Si wamevaa bikini!

    ReplyDelete
  7. Alaa- wafunike mapaja ya matuta, na matumbo ya matuta na mawimbi! Kwani wanapendiza?

    ReplyDelete
  8. Haya basi, waacheni waonyeshe miili yao. Labda hata wangevaa G-string/ thongs.

    ReplyDelete
  9. Waje Tanzania basi halafu watembee hivyo waone tutakavyo wamezea mate! Wazuri kweli! Mali kuwa na mke mnene kama huyo!

    ReplyDelete
  10. Napenda majimama! Nataka kumwoa huyo mrefu! Naweza kumpata wapi? Naomba email yake please.

    ReplyDelete
  11. Maunene kama haya yako Marekani tu. Sijawahi kuyaona Afrika.

    ReplyDelete
  12. Nimewahi kuona wanawake wanene hata Afrika, ambao unaweza hata kuweka mtungi wa maji (uliojaa maji) kwenye matako, bila maji kumwagika. Kweli :)

    ReplyDelete
  13. Nawatamani mno hao visura! Napenda wanawake wa mafuta mengi. Aaaaaaaaaaaaahhhh, mafuta matamu!

    ReplyDelete
  14. Mimi namtaka huyo kibonge wa mbele! Usiku sitasikia baridi nikiwa na huyo!

    ReplyDelete
  15. John- Hautasikia baridi, kwasababu utakua umepondwa (na UZITO) na kufariki!

    ReplyDelete