Thursday, May 17, 2007

Wasio na Makaratasi wataweza kupumua sasa!

Habari njema kwa wasio na makaratasi Marekani. Kwa haabri zaidi someni:

http://www.cnn.com/2007/POLITICS/05/17/immigration.ap/index.html

Excerpt

The key breakthrough came when negotiators struck a bargain on a so-called "point system" that would for the first time prioritize immigrants' education and skill level over family connections in deciding how to award green cards.

The draft bill "gives a path out of the shadows and toward legal status for those who are currently here" illegally, said Sen. Dianne Feinstein, D-California.
The immigration issue also divides both parties in the House, which isn't expected to act unless the Senate passes a bill first.


The proposed agreement would allow illegal immigrants to come forward and obtain a "Z visa" and -- after paying fees and a $5,000 fine -- ultimately get on track for permanent residency, which could take between eight and 13 years. Heads of household would have to return to their home countries first.

7 comments:

  1. 5,000 na proccesing fees na habari za kurudi kwenu?Bado haingii akilini mwangu,then miaka 13 kusubiri ngoma ya kijani(Green card)?Unaweza ukawa hununui hata chupi hela zote unawapelekea hawa mbwa,wezi wakubwa au mnasemaje wadau?

    ReplyDelete
  2. Hii Serikali ya Wamerekani inaonyesha jinsi walivyo mabepari, sasa 5000$ itatoka wapi?? Sidhani kama wanataka kusaidia hawa immigrant, nafikiri wanataka kutengeza mchuzi. Sasa basi mtu ungelipia hizo $5000 halafu uendelee kukaaa, lakini unatakiwa urudi nyumbani kwenu kwanza na process inaweza kuchukua miaka 8-13 mpaka kupata green card. This is purely BS.

    Nachukia sana kuona immigrants wakati mwingine wanaonekana kama majambazi. wakati ukweli ni kuwa wamekuja kujitafutia maisha.

    HII SIO DEAL NZURI KABISA, LABDA WANGEONDOA KIPENGELE CHA KURUDI NYUMBANI KWANZA MPAKA MAKARATASI YAWE TAYARI

    ReplyDelete
  3. Hata mimi nakubali. Itakuwa vigumu kwa wale wanapata minimum wage kupata hizo. Na hayo mambo ya kurudi na sijui ukae 8-13 years ndo upate green card ni shyt kabisa. Kwa nini wasiseme basi mtu aprove kuwa alikuwa phyisically present in the US for so long, halafu alipe $5,000, wajifunze English na iwe two years apate greena card. Na wafikirie hizo 5,000 wazidishe mara milioni ngapi wanapata hela nyingi kweli!

    ReplyDelete
  4. sasa mnataka nini? huko sio kwenu,ni lazima mkubaliane na hoja zao.msilete hoja zenu zisizo kidhi matakwa yao.mkishindwa si mrudi kwenu.mkifadhiliwa kidogo mnadai makubwa haiwezekani.ukishindwa pack and go.

    ReplyDelete
  5. Tunasubiri waingereza nao watupe makaratasi. Labda Gordon brown aweza kuturahisishia red tape!!!!!

    ReplyDelete
  6. Anony wa 1:01 pm nakubaliana nawe. Hawa wanaanza kuwapangia watu utaratibu wanaoona unafaa. Kama hicho walichoamua ni kibaya kwa nini watu wasiondoke na kurudi kwao? Mna kwenu rudini. Mnawaacha kina JK na Lowasa wanaharibu nchi mnakwenda kun'ang'ania nchi za watu aibu!

    ReplyDelete
  7. Hii ya Wamarekani kali kweli kweli lakini silaumu Wabongo na washikaji wengine waliojitoma huko kwa jamaa hawa wasio na utu. Maisha lazima yasakwe popote duniani, kuganda Kariakoo siyo ujanja, ni upuuzi tu, nani ana afadhali, Mtanzania aliyekimbia na sasa ana maisha mazuri na kusaidia ndugu zake au aliyezubaa mjini Dar halafu anaishia kuyoa maneno ya kinyongo?

    ReplyDelete