Wapendwa wasomaji, bado ninanendelea kujifunza ngoma ya waMarekani, Tap Dance. Jumapili iliyopita tulifanya maonyesho kwenye Dance Complex, Central Square, Cambridge. Hapa niko kwenye studio nafanya mazoezi.
Mwakani nikibahatika nitaenda New York, kuchukua kozi fupi ya Tap na Mwalimu maarufu kama Savion Glover.
Kwa habari zaidi kuhusu Tap Dance nenda:
http://www.tapdance.org/
http://www.atdf.org/
Niliwahi kublog kuhusu Tap Dance mnaweza kusoma hapa:
http://swahilitime.blogspot.com/search/label/Tap%20Dance
Tapdance wenda mbali,jifunze kwanza kucheza bolingo ndiyo ya kwenu
ReplyDeleteMbona nacheza hiyo Bolingo, na Sindimba, Sangula, Kitoto etc.
ReplyDeleteDa chemi na we saa nyingine vihobi vyako navyo mh, haya mwaya! si huku Canada tunasaka mduara tap dancing tunaiona ni ya marednecks, hivi inanoga kweli au ni basi!!
ReplyDeleteAnonymous wa 11:13PM, asante kwa maoni yako. Kwanza Tap Dance ni ngoma iliyoanziswa na wamarekani weusi. Hapo zamani walimu wao walikuwa ni weusi, wazungu waliiba na kufanya ya kwao, lakini wesui waliendelea kutawala. Nadhani unamaanisha 'Square Dance', maana hiyo ndo densi ya Rednecks. Nayo nimecheza si mbaya ukijifunza ku-dosidoo and swing your partner!
ReplyDeleteAsante kwa kunielimisha, labda kuna siku nitajaribisha na mimi, siku njema.
ReplyDeleteDa Chemi
ReplyDeleteKuuliza si ujinga.....
hivi hiyo tapdance ni ngumu sana au wanataka kula pesa zako tu za mafundisho??
Chemi kifua nimekikubali kwa wapenda mtindi lazima uwarushe roho sana kama afande wa JKT. Ila fanya zoezi mwili naona unapungua pungua.
ReplyDeleteLakini ningependa kuuliza swali moja. For sure sijui historia yako lakini kama uliwahi kuwa journalist TZ, je na sasa unafanya hiyo kazi US au unasoma au unafanya kitu gani? Sorry this is personal lakini si vibaya tukajua sisi tunaotembelea blog yako.
ivi nyie wabongo mna tatizo gani jamani yani wewe una taka kujifunza tap-dance kama hauwezi kucheza hiyo tena una tabu au unahiji mwalimu pole sana jaribu kutafuta show ya zamani ya VITIMBI (from VOK) not KBC kuna mtiu alikuwa anaitwa amakatwende aliicheza on one his show!!!!!!!! najua ndugu zangu wa dar es saalam hamkuwa na TV enzi hizo poleni ila unaweza kupa old school kama unaweza kuzitafuta pole mambo haya yalikuwapo tayari bongo them day's when u still ride on the back of truck maana town buses zime kuja juzi baada ya MH. Mwinyi kuruhu wapemba wote kuwa na hela hhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaget i cant tell u all do u'r reseach!!!!!!!!! u might no something
ReplyDeleteChemi, tap dance haikuazishwa na watu weusi na wala watu weusi hapa marekani hawadai kwamba wao ndio walioazisha tap dance, ila wao wame-improvise katika kimitindo ya hapa America. The Irish are the originator of the tap dance. Please, get your facts right! aiight.
ReplyDeleteChemi hajakosea maana ni kweli American Tap Dance ilianzishwa na weusi. Ile dance ya waIrish inafanana na tap lakini siyo.
ReplyDeleteTap Origins: A Brief History by Paul Corr
Except for the Indians' ritual dances, the first indigenous American art dance is tap dancing, whose roots lie in spirited Irish and English jigs and clog dances and in the rhythmic African improvisations that immigrants and free Africans combined spontaneously during the 1840s. Characterized by rapidly tapping toes and heels, usually in shoes fitted with metal tips, tap dancing evolved through both those of African desent, and European minstrel shows, revues, vaudeville, musical comedy, and film, accumulating sophisticated new sounds for the feet,such as brushes, slides, hops, rolls, and complex new accents for the upper body as it went along. In 1900 the Floradora Sextet performed the first synchronized tap routine. The 50 girls of the first Ziegfeld Follies (1907) constituted the first tapping chorus line.
Wewe nawe Toplionyu sijui unazungumza nini kama hujui kutafasiri au kuelewa ki-ingereza bora unyamaze, sasa hapo juu maoni yako ya kusema Chemi yuko sawa yanapingana na mada uliyowakirisha yakuonyesha asili ya tap dance.
ReplyDeleteJamaa 11:28 Am ameeleza kwa kifupi na maoni yake yako sawa na history fupi ya tap dance uliyoleta.
Any way, let stop arguing about this tap dance thing, it ain't got any importance for us to dwell on it.
Sista Chemi, just shake your body to tap dance steps, all power on ya.
May be some of us might join ya soon.
You stay safe to y'all........
Dada chem unajitaidi ongeza speed
ReplyDeleteutaelewa tu. Ukitaka kujifunza zaidi fungua hiii blog www.kennedytz.blogspot.com
www.kennedytz.blogspot.co
ReplyDeleteJifunze kucheza