Chemi Prophecy or no prophecy. Ukweli ni kuwa Mdada huyu hayupo tena na tutakutana naye paradizo kwa wanaoamini hayo. Ila watu hawataweza kukubaliana juu ya sababu za kifo chake. Huyu wa gazeti la sani atasema si niliwambia, wale wa umoja wa vijana watasema tulijua yatatatokea yaliyomkuta Ipyana,Wengine nao waseme unaona mumewe alimwapiza juu ya msaahafu,au kamsomea albadili sijui au yamin. Tujiulize tangu alipoaga Dunia wangapi wamefuata katika masaa haya machache. Wengine ni Vichanga wala hawajaonja dunia, na wao wamekufa kwa sababu ipi? The fact is Mrembo huyu alifuhahia maisha and she enjoyed every moment of it and now time has come for her to pass on. WE are all bloody mortals!!
Kwanini huyu anakimbiziwa kaburini kabla wananchi hawajawekewa bayana sababu ya kifo chake? Inawezekana kabisa ikawa amekufa kifo cha kawaida (natural death) na inawezekana pia amekufa kifo cha kuuawa (through conspiracies).
Hivi ni lini watanganyika tutaijua thamani ya maisha ya mwanadamu? Wewe mnyamapori, unayesema "we are all bloody mortals" that degree of complacency should not be acceptable.
Kwa sababu ya upumbavu huu ndo maana kila siku watu wanakuwa kwa idadi kubwa sana kuliko inavyotakiwa iwe, halafu mnasema eti "ni kazi ya mungu" Mungu gani huyo anayetuua sisi tuu kwa idadi kubwa kuliko watu wengine? Hivi ni kweli madaktari wetu na serikali yetu inashindwa kufanya uchunguzi wa kujua kilichomuua bi-amina?
nakuunga mkono Maganga, huu upuuzi wa kusema ni "mapenzi ya mungu" unaendekeza uzembe! Watu wanakufa kama kuku kwa sababu zinazozuilika kabisa (mfano ajali za barabarani)-na hakuna cha maana kinachofanyika sababu ya misemo kama hiyo ya "mapenzi ya mungu"......
AND I HATE NIKISIKIA PEOPLE SAYS "SISI TUMEMPENDA LAKINI MUNGU AMEMPENDA ZAIDI" OOOH FOR GOD'S SAKE!! THERE'S NOTHING LIKE THIS... NI UZEMBE TUU!! KUFA KUPO FINE NA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. LAKINI NADHANI KAMA NI MALARIA NA KISUKARI VIMEMUUWA BASI MADR WETU INABIDI WARUDISHWE SHULE... HIVI KWELI MTU KAMA AMINA ANAWEZAJE KUUGUA MALARIA MPAKA KUFA... AU ANAWEZAJE KUWA NA KISURAKI BILA YEYE MWENYEWE KUJIJUA.. HAYA BWANA TUWAACHIE WENYEWE TUSIJAJI WATU
Of course God did NOT kill Amina. Atakuwa si Mungu huyu tunayejua kuwa ana upendo kuliko kitu chochote duniani. Sidhani kama atampenda zaidi Amina kiasi cha kumuua huku akijua kuwa mtoto wake, familia yake na jamii nzima bado wanamuhitaji. Na kuwa kitendo cha yeye kumchukua kimeacha majonzi makubwa sana kwa watu. We have to accept the truth, that so many people killed her psycologically, physically and emotionally. She was only 26 while facing the BIGGEST problems in life yet, everybody was following her like a murderer.
Chemi
ReplyDeleteProphecy or no prophecy. Ukweli ni kuwa Mdada huyu hayupo tena na tutakutana naye paradizo kwa wanaoamini hayo. Ila watu hawataweza kukubaliana juu ya sababu za kifo chake. Huyu wa gazeti la sani atasema si niliwambia, wale wa umoja wa vijana watasema tulijua yatatatokea yaliyomkuta Ipyana,Wengine nao waseme unaona mumewe alimwapiza juu ya msaahafu,au kamsomea albadili sijui au yamin. Tujiulize tangu alipoaga Dunia wangapi wamefuata katika masaa haya machache. Wengine ni Vichanga wala hawajaonja dunia, na wao wamekufa kwa sababu ipi? The fact is Mrembo huyu alifuhahia maisha and she enjoyed every moment of it and now time has come for her to pass on. WE are all bloody mortals!!
Mnyamapori na kuunga mkono.
ReplyDeleteKwanini huyu anakimbiziwa kaburini kabla wananchi hawajawekewa bayana sababu ya kifo chake? Inawezekana kabisa ikawa amekufa kifo cha kawaida (natural death) na inawezekana pia amekufa kifo cha kuuawa (through conspiracies).
ReplyDeleteHivi ni lini watanganyika tutaijua thamani ya maisha ya mwanadamu? Wewe mnyamapori, unayesema "we are all bloody mortals" that degree of complacency should not be acceptable.
Kwa sababu ya upumbavu huu ndo maana kila siku watu wanakuwa kwa idadi kubwa sana kuliko inavyotakiwa iwe, halafu mnasema eti "ni kazi ya mungu" Mungu gani huyo anayetuua sisi tuu kwa idadi kubwa kuliko watu wengine? Hivi ni kweli madaktari wetu na serikali yetu inashindwa kufanya uchunguzi wa kujua kilichomuua bi-amina?
Hasira zimenizidi bora niishie hapa tuu...
nakuunga mkono Maganga,
ReplyDeletehuu upuuzi wa kusema ni "mapenzi ya mungu" unaendekeza uzembe!
Watu wanakufa kama kuku kwa sababu zinazozuilika kabisa (mfano ajali za barabarani)-na hakuna cha maana kinachofanyika sababu ya misemo kama hiyo ya "mapenzi ya mungu"......
AND I HATE NIKISIKIA PEOPLE SAYS "SISI TUMEMPENDA LAKINI MUNGU AMEMPENDA ZAIDI" OOOH FOR GOD'S SAKE!! THERE'S NOTHING LIKE THIS... NI UZEMBE TUU!! KUFA KUPO FINE NA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. LAKINI NADHANI KAMA NI MALARIA NA KISUKARI VIMEMUUWA BASI MADR WETU INABIDI WARUDISHWE SHULE... HIVI KWELI MTU KAMA AMINA ANAWEZAJE KUUGUA MALARIA MPAKA KUFA... AU ANAWEZAJE KUWA NA KISURAKI BILA YEYE MWENYEWE KUJIJUA.. HAYA BWANA TUWAACHIE WENYEWE TUSIJAJI WATU
ReplyDeleteOf course God did NOT kill Amina. Atakuwa si Mungu huyu tunayejua kuwa ana upendo kuliko kitu chochote duniani. Sidhani kama atampenda zaidi Amina kiasi cha kumuua huku akijua kuwa mtoto wake, familia yake na jamii nzima bado wanamuhitaji. Na kuwa kitendo cha yeye kumchukua kimeacha majonzi makubwa sana kwa watu. We have to accept the truth, that so many people killed her psycologically, physically and emotionally. She was only 26 while facing the BIGGEST problems in life yet, everybody was following her like a murderer.
ReplyDelete