Baba akiagana na Mheshimiwa Sumaye ambaye alikuwa jirani yangu hapa Cambridge, Ma. Ndo siku nilikabidhi kanda za sinema ya Tusamehe na Bongoland.
Baba na Mama wakiwa South Station, Boston Ma. kuelekea New York City ambapo walienda kusalimia ndugu na marafiki.
Dr. Aleck Che-Mponda akicheki sanamu ya mbwa aina ya St. Bernard huko Mohegan Sun.
Sumaye ni mtu simple na mkarimu sana. Mimi nampongeza kwa kujiendeleza na kuonyesha mfano kwa watoto/vijana kuwa elimu haina mwisho. Kila la heri Mhe Sumaye!
ReplyDeletePicha nzuri chemi
ReplyDeletehivi dingi (Baba) yako aliachana na siasa?? simsikii kabisa siku hizi. Good for him...
Da chemi, asante kwa kutuonyesha picha za wazazi wako, nimefarijika kwa kweli. Bahati mbaya, kwa mapenzi ya Mungu, mie wazazi wangu wote wawili walifariki nikiwa bado mdogo sana. Hivyo sijapata mapenzi ya wazazi wangu. Mungu awazidishie afya njema na Umri tele hadi wawe wikongwe wazazi wetu hao! MUNGU AWABARIKI JAMANI.
ReplyDeleteKumbe yule mwanasiasa ndo baba yako ila siku hizi simsikiii au alisharudi CCM?
ReplyDeleteHivi Chemi, US unasoma au unakula mzigo ingawa naona kwa mwili wako huwezi beba maboksi lakini waweza kuosha vizee hahahahahaha
Cheers ila ingia gym mama mwili mkubwa
Da Chemi, nimefurahi kuwaona wazazi "wetu".. maana mzazi wa mwenzio naye wako.
ReplyDeleteMajirani zetu Chuo though long time. Inakumbusha mitaa ya Mlimani, Sinza Road, Simba road, Darajani , UDASA etc. jamani... hakuna awali iliyo mbovu..
Mlimani kina mwl. Mndolwa, Elia, Mujwahuzi etc Mungu awabariki sana walimu hao kwa kututoa tongotongo.
Chemi naona ulikuwa na ugeni mzito. Hongera sana. Wazazi wako wamependeza.
ReplyDeleteYaani ulimpeleka kucheza kamari...CHEKA!
ReplyDeleteChemi your blessed, your parents (ours too) look strong and they should be nice too. My God bless the family.
ReplyDeleteVijana chukueni mfano ndoa zenu siku hizi ni za miezi tu na mnashindana eti harusi iwe ya gharama sana lkn za baba zetu zilikuwa simple, cheap na "hadi kifo kitutenganishe!"
Mswali mawili:
ReplyDelete(a) Sumaye alikuwa na msaidizi wa kumchomea mishikaki? Mbona alitangaza kuwa alikuwa akijipikia na kujifanyia kila kitu mwenywe bila msaidizi yeyote, na kwamba kila mtu alikuwa akimwita Freddie. Je huyu alikuwa msaidizi wa namna gani ambaye angemwita Freddie?
(b) Baba yako Dr. Che-Mponda yuko wapi siku hizi? Nakumbuka aliondoka UDSM na kuanzaisha chama chake kwa kishindo. Tangu uchaguzi wa 1995 sijamsikia tena katika siasa, je kaamua kurudi kwenye chaki pale UDSM?
Safari njema huko Dar.
Usikose kuniletea konyagi. Mimi nipo Amherst; tutawasiliana.
Kumbe huyu mzee yupo, nakumbuka chama chake kilikuwa kinaitwa CCM-B sababu alikuwa hapingani na matakwa ya CCM.
ReplyDeleteIla Chemi usije ukawa wewe ndo ulikuwa msaidizi wa Sumaye, na mimi Sumaye ninavyomwelewa kwa totoz lazima hukukatize kwenye anga zake. Any way sio mbaya lakini
ReplyDeleteHivi Baba Che Mponda anafanya kazi gani? Historia yake ni mwanasiasa siyo? Hebu nieleweshe kidogo.
ReplyDeleteMatt
Anonymopus wa 11:57PM, usiwe na wasiwasi. Sumaye alikuwa na msaidizi wa kiume.
ReplyDeleteNi lini utajibu haya maswali?? Mengine ni so private hata usipojibu wengine hayatuhusu labda uombe e-mail address za waliouliza ili uwajibu. Lakini yote yaliyomuhimu tunaomba majibu
ReplyDelete