Monday, September 17, 2007

Please Stay Tuned




STAY TUNED FOR MORE ON JOSIAH KIBIRA's NEW FILM BONGOLAND II!


5 comments:

  1. yaani chemi hizo still grabs peke yake zinaonyesha utaalamu na ukomavu wa cinematography
    kwa kweli i'm completely blown away!
    Na kibira ni smart kwa kutafuta mpiga picha professional nilienda ktk website yake
    men! jamaa huyo ni mtaalamu na ni pro nimeona hata clips zake za 35mm na 16mm ni nzuri na ni professional

    je hivi una idea kama ni camera gani aliyotumia ?,alitumia any adapters za 35mm?
    sfahamu lakini kwa uzoefu wangu kwa kuangalia hizo still grabs inaonyesha labda alitumia vhx 200 ila sijui ni kataika format ya betacam ya 2/3"
    anay way chemi sisis huku nyumbani tuna mengi ya kujifunza kwa wenzetu wenye utaalamu kama huo
    picha hizo ni nzuri na ni za kitaalam kweli
    namapa hongera nyingi huyo mpiga picha
    yaani kwangu mimi hazionekani too real au videoish! ukiangalia picha ya chini it looks kama super16mm
    kazi nzuri saana nimefurahi kwa kweli
    Raceznobar

    ReplyDelete
  2. hizo bongoland 1 na nyingine zinapatikana wapi mimi nataka sana kuziona ili nikiiona bongoland 2 nijue naangalia nini na unafanyaje kuzilipia pliiz tuelekeze. mimi ni mpenzi sana wa sinema za kitz

    ReplyDelete
  3. You can buy the films here:
    [url]
    http://www.kibirafilms.com/tusamehe/store.html[/url]

    ReplyDelete
  4. ndugu yangu nataka nikuambie hivi sinema hizo siyo zile takataka video za nigeria huyo bwana kibira kwa kweli anautaalamu na ninakuhakikishia kama huna uwezo au ni vigumu kupata ile ya kwanza nia sequel yake wala usihofu wewe angalia tuu na utaona inajitosheleza sababu huyu bwana kitaaalamu anatengeneza feature film na siyo melodrama na soaps ambazo wanigeria wanaita sinema kiasi kwamba usipoona iliyotangulia ni vigumu kuifurahia inayofuata au ni vigumu kuelewa part 5, duh!,kazi kweli na hizo sinema za wapopo.
    any way nilipenda tuu kukupa asurance yoyote ile utakayobahatika kuipata utafurahi sana tuu
    flow yake ya hadithi na picturisation kwa kweli ni ya ki holiwudi kwa kiwango cha kuridhisha
    pia kwa kununua tunamsupport mwansinema mwenzetu ili aweze kufanya zaidi na zaidi
    Kibira is the only way to go !
    Raceznobar

    ReplyDelete
  5. Na mimi nangojea kwa hamu sana tena sana kuona Bongoland II. Niliona trailer ya Bongoland IIna katika sinema za Tanzania hakuna mfano. Nilipenda jinsi walivyo breakdown sehemu eg. lies na family. Wanigeria watajaribu kumwiga Kibira sasa na sinema zake QUALITY! Nadhani hii itakuwa nzuri zaidi sana.

    ReplyDelete