Friday, November 30, 2007

Msosi



Je, msosi kama huu unafaa kulika kwa bia au soda? Ila hiyo nyama ya pembeni hapo ni mafuta tupu.

3 comments:

  1. Da Chemi hiyo nyama ya mafuta mafuta ni nyama ya mbuzi.

    ReplyDelete
  2. Huo msosi unafaa kuliwa na coca cola baridi au pepsi baridi sana.Huyo mbuzi kanona kama kitimoto.

    ReplyDelete
  3. Chakula gani hiko kibovu hivyo? Ndo maana mnaota malutulutu (cellulites)matakoni.

    ReplyDelete