Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Da Chemi,Asante sana.Tangu huu mwaka uanze nilikuwa sajacheka kama nilivyocheka leo baada ya kuiona hii video. Maana kila kituko kinafurahisha.Shakran!Far East.
Hii kama iko kwenye CD, na kama inawezekana, nitaomba moja au nielekeze ninaweza kuipataje. Far East... (rdor7819@hotmail.com)
DAYMN! Huyo jamaa alikuwa anavuta sigara chooni halafu kapulizwa na fire extinguisher! LOL!
Ni bora kuondoa stresses kwa stail hiyo manake kuna instances ambazo watu kama hawa uamua kufanya mass killings na ku-commit suiccide.
Bora sisi wengine (wanawake) ukiwa na siku mbaya unakimbilia chooni unalia weee baada ya hapo unakuwa okay.Nimecheka!
Dah´Dada chemi pleeez mbavu zangu...Yaani nimecheka mpaka majira makuja kuniangalia if I am ok or not! Thank you for sharing!
Da Chemi,
ReplyDeleteAsante sana.
Tangu huu mwaka uanze nilikuwa sajacheka kama nilivyocheka leo baada ya kuiona hii video. Maana kila kituko kinafurahisha.
Shakran!
Far East.
Hii kama iko kwenye CD, na kama inawezekana, nitaomba moja au nielekeze ninaweza kuipataje. Far East... (rdor7819@hotmail.com)
ReplyDeleteDAYMN! Huyo jamaa alikuwa anavuta sigara chooni halafu kapulizwa na fire extinguisher! LOL!
ReplyDeleteNi bora kuondoa stresses kwa stail hiyo manake kuna instances ambazo watu kama hawa uamua kufanya mass killings na ku-commit suiccide.
ReplyDeleteBora sisi wengine (wanawake) ukiwa na siku mbaya unakimbilia chooni unalia weee baada ya hapo unakuwa okay.
ReplyDeleteNimecheka!
Dah´Dada chemi pleeez mbavu zangu...
ReplyDeleteYaani nimecheka mpaka majira makuja kuniangalia if I am ok or not! Thank you for sharing!