Nchi hii ina wazalendo kabisa,Ina watu wanaopenda haki itendeke kwa wote,ina watu wenye huruma ya dhati sio ya kuigiza. Hebe tuangalie mchakato mzima wa swala hili kwa kweli!mimi binafsi ilifika mahala nikashindwa kujizui a kutoa machozi!!Ninacho washauli watanzania wenzangu tumuunge mkono Mheshimiwa Rais wetu mwenye uchungu wa kweli wa watu wake,Na hii iwe changamoto kwa viongozi wa ngazi zote nina maana hata kwenye sector binafsi kuna watu wa namna hiyo pia.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu.
Chemponda be serious.Ukiweka hotuba ya Rais weka hotua usiweke imaginary speech unapotosha watu.Watu walipiga simu wakisema wameona hotuba ya Rais kwenye blog ya Chemponda.Wakati ni imaginary speech.
Mimi nimepata uchungu mno. Waadilifu Tanzania wapo ila wako juu ya mawe kwa sababu Edward Lowassa hakuwapenda na hawakuwa wana mtandao. Aibu sasa imefunguka. Tukicheza tutauana. Nchi iko kwenye mtikisiko mkubwa kiasi kwamba watu wasipokuwa makini, mambo yatakuwa si mambo. Nadhani inabidi kabla ya kuwapa uwaziri, kiapo hakitoshi, wakiri kuwa hawajawahi kushiriki ufisadi wowote na wakibainika washitakiwe moja kwa moja na kifungo cha maisha. Tuwe wakali kidogo, hauwezi kuendelea kwa kuogopa kufanya maamuzi magumu
Nchi hii ina wazalendo kabisa,Ina watu wanaopenda haki itendeke kwa wote,ina watu wenye huruma ya dhati sio ya kuigiza. Hebe tuangalie mchakato mzima wa swala hili kwa kweli!mimi binafsi ilifika mahala nikashindwa kujizui a kutoa machozi!!Ninacho washauli watanzania wenzangu tumuunge mkono Mheshimiwa Rais wetu mwenye uchungu wa kweli wa watu wake,Na hii iwe changamoto kwa viongozi wa ngazi zote nina maana hata kwenye sector binafsi kuna watu wa namna hiyo pia.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu.
ReplyDeleteAmakweli mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi,Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki Rais wetu
ReplyDeleteDa Chemi acha usani
ReplyDeleteMh. rais hajalihutubia bunge, na ningekushuri kufanya utafiti kabla ya ku-post mambo ya jinsi hii, hususani kwa wakati huu.
ReplyDeleteChemponda be serious.Ukiweka hotuba ya Rais weka hotua usiweke imaginary speech unapotosha watu.Watu walipiga simu wakisema wameona hotuba ya Rais kwenye blog ya Chemponda.Wakati ni imaginary speech.
ReplyDeleteBe serious Baby when it comes to serious things.
Da Chemi
ReplyDeleteMimi nimepata uchungu mno. Waadilifu Tanzania wapo ila wako juu ya mawe kwa sababu Edward Lowassa hakuwapenda na hawakuwa wana mtandao.
Aibu sasa imefunguka. Tukicheza tutauana. Nchi iko kwenye mtikisiko mkubwa kiasi kwamba watu wasipokuwa makini, mambo yatakuwa si mambo.
Nadhani inabidi kabla ya kuwapa uwaziri, kiapo hakitoshi, wakiri kuwa hawajawahi kushiriki ufisadi wowote na wakibainika washitakiwe moja kwa moja na kifungo cha maisha.
Tuwe wakali kidogo, hauwezi kuendelea kwa kuogopa kufanya maamuzi magumu
Mbona jana hatukusikia hii hotuba.Au Mhe. Rais aliisoma bila kurushwa hewani na vyombo vya habari? hebu tupashe.
ReplyDelete