Monday, February 18, 2008

Tanzanian Cartoonist Kipanya on Pres. Bush's Visit



Translation-

Patient- You've taken me from the ground and put me in a bed! What is the meaning of these niceties? Or am I about to die?!

Nurse- How are you feeling this morning?

Nurse - Would you like your eggs made into an omlette or spanish style?

Doctor - How do you feel?

Kipanya (rat character) - No you are not dying! President Bush is coming!

***********************************************************************************

Amana Hospital is known for poor treatment of patients and poor conditions overall. When President Bush visited suddenly the place was cleaned up, the staff were doing their jobs and the patients got good food to eat! Can the President visit all of the public hospitals Please!!!!

Kwa kweli Kipanya kajitahidi sana leo!

5 comments:

  1. da Chemi umesahau, kuna daktari hapooo...

    Doc. "how are you feeling?"

    ReplyDelete
  2. Leo Kipanya ametoa! Hiyo Amana hospital ilikuwa ovyo kweli! Bush kaondoka itakuwa ovyo tena!

    ReplyDelete
  3. qvBush kaleta hela kwa ajili ya manesi,madaktari na wagonjwa kwa nini huduma zisiwe nzuri?

    Unategemea huduma zibaki mbovu wakati mwanaume wa Shoka keshakuja na kamwaga pesa? Na uhakika wa Pesa upo.

    Kila mtu anaweza sasa weza kutoa huduma nzuri.Uhakika wa bajeti upo.

    Changamoto kwa kila mtanzania aliyeko nje ni kuwa si vizuri kusema tu na ku-amplify matatizo ya Tanzania ni vizuri tuwe wachangiaji katika huduma za Afya.Mfano tujiulize wodi ngapi zimejengwa kama msaada toka kwa watanzania wa Nje ya nchi,au msaada wa madawa kiasi gani umettolewa nao mahospitalini?

    Watanzania nje ya nchi bure kabisa hasa kwenye uchangiaji wa huduma za jamii nchini Tanzania laakini ni wa kwanza kupiga tarumbeta kuwa huduma za Afya Tanzania mbaya na wepesi kutoa statistics kwa kiingereza kilichonyooka.Mnataka nani azitengeneze hizo huduma za jamii ziwe Nzuri?Shame on evey Tanzanian Abroad ambaye hachangii huduma za jamii Tanzania zikiwemo za afya.

    Huu siyo wakati wa kusema kuhusu huduma mbaya za Afya ni wakati wa kummunga mkono Raisi Bush kuchangia huduma za Afya.Yeye kaanza watanzania wa ndani na nje ya nchi wafuate.Si vizuri kumwachia Raisi Bush pekee tumuunge mkono jamani na sisi kwa kutoa michango yetu kwa ujenzi wa ma-wodi,n.k

    koloboi@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. Chemi inamaana Kipanya anachemkaga? Napata maana hasi zaidi kuhusiana na kauli yako hiyo.

    ReplyDelete
  5. habari za wakati wadau,naomba niwape mwongozo tu wale waliokuwa wanauliza vitanda vilikuwa wapi na bushi akiondoka vitaenda wapi au wagonjwa wataendelea kulala chini,ukweli ni kwamba baadhi ya wagonjwa walihamishiwa hospitali jirani na wakaachwa wale wachache kulingana na idadi ya vitanda....so msiulize tena vitanda vilikuwa wapi..naomba kuwasilisha wadau

    ReplyDelete