Tuesday, April 15, 2008

Acheni Tabia Mbovu - Part 2


Bado nakemea vikali hiyo tabia mbaya ya wanaume kujisaidia hapa na pale bila hata kujali nani anapita au watoto watacheza hapo!
Picha kwa hisani ya Mzee wa Sumo

5 comments:

  1. Rabeka da Chemi. Kwa hili ninakuunga mkono kulikemea kwa kichwa, mkono, miguu ya kushoto na kulia.
    Hakuna cha kujitetea ati mwanamke hajaumbwa hivyo ati na yeye angefanya hivyo, tunatizama hali iliyopo hapa na si kukimbilia kuwaza yasiyokuwapo. Wanawake nao wangeweza kufanya hivi, tungewakemea vile vile.

    Kukojoa ovyo barabarani na kwenye vyanzo vya maji hata ukiwa umebanwa kiasi gani, ni mbaya kwa afya. Na ndiyo maana hatusongi mbele haraka kwa sababu hata mambo ya msingi tunapoteza muda kuyabishia tu, na wengine huwa wanabisha alimradi wamebisha kwa kuwa ndivyo walivyo!
    Hovyo kweli kweli!

    ReplyDelete
  2. mazoea yana taabu san!huu ndio utaratibu turio anza nao,asilimia 85 ya watanzania wote washawahi kuchafua mazingira kwa mtindo hhuuu

    ReplyDelete
  3. Wanaaume hawana haya hata kidogo! Akibanwa mkojo anatoa dudu lake. Nashangaa hazomemewi hapo!

    ReplyDelete
  4. Haya haya huyo!

    ReplyDelete
  5. Nabado utachonga sana Da Chemi mwaka huu, madhali hatufi tukijisaidia njiani wala habari, hatuna! Kama umenuna kunja bara barab tusipite! Na nyie kama mnaweza kojoweni usimama!

    ReplyDelete