Huko Afrika Kusini wanapenda sana mambo ya uzungu. Sasa wameingia na Biker Culture, yaani maklabu ya pikipiki. Moja wa bikers alikuwa anaoa, waliamua kufanya arusi ya kiBiker. Sijui na vows walisemea wakiwa kwenye pikipiki. (Asante Da Subi kwa kuniletea picha)
Bibi Arusi akipelekwa sehemu ya sherehe
Da chemi acha zako, wewe ulitaka waenda na punda ndio uafrika? wakati unabadilika kwani waonavaa suti au magauni meupe ni uzungu? kila anaamua harusi ifanyike its just a decision.
ReplyDeleteIt is unique wedding but it is not "uzungu". Da Chemi you have lived in US for several years and you should know better biking is hobbie and they have biking clubs.It is personal decision how you like your wedding. I believe you wed in the Church and that's Uzungu too.
ReplyDeleteWatu wanaweka relaxer kwenye vuzi za kwapani? Hiyo mpya. Lakini ni kweli huyo dada kazifuga.
ReplyDeletehalafu wanaonesha wahuni watupu hawa na mwanamke wao bi harusi kapinda..mbona kule kwa mjengwa tumeambiwa ni nigeria?sasa mwambieni huyo subby wenu awe makini
ReplyDeleteChemi huyo biker unaesema anafanana na shoga mbona ni mwanamke.Angalia vizuri shape yake matiti na kila kitu nadhani umeangalia vibaya huyo ni biker mwanamke.
ReplyDeleteHata mimi niliambiwa ni Nigeria. Baada ya kuchunguza nikagundua ni South Africa. Hebeu cheki style ya nyumba na mavazi.
ReplyDeleteChemi hongera, huo ndio unaitwa uandishi wa habari, unachoambiwa uankifanyia kazi kwanza. Hata mie nilishangaa mbona hatuyaoni mabazee tunaona makpfia ya siyabonga kwa mbali, na nyumba za Soweto au kama kule Alexander!
ReplyDeleteLakini huyo dada mliyesema kaweka relaxa nywele za kwapani mmemuonea ukiikuza hiyo pidha hizo ni rasta zake zimefuka hapo kwapa liko jeupe!
Da Chemi huoni huyo ni mwanamke? labda usime msagaji na sio shoga. hiyo relaxar umeonaje? harusi yao nzuri kwani wamefanya watakavyo wao hakuna uzungu wowote hapo ni upenzi wa pikipiki tu uliowafanya watumie usafiri huo.
ReplyDeletekwani huyo subi hakukukwambia ni wapi? nguo sio kila wanaigeria wanavaa za kimila na kama unavyoona hilo rika ni vijana wa biking unategemea nini??