Wednesday, April 09, 2008

Wenzetu huko Afrika Magharibi

GHANA photo from big foto

TOGO Photo from Hobo Traveler

Haya huko Afrika Magharibi nako wanachoshwa na tabia ya watu kujisaidia haja ndogo na kubwa ovyo!

1 comment:

  1. duh ulivyobeba hilo bango si ukajenge vyoo?? we kumbe cha ubishi eeh/sturbon
    ngoja next time ukienda bongo usafiri kwa basi kwenda arusha etc njiani huko ubanwe haja tuone kama utakumbuka mjadala wako? au kama utajibana mpaka ufike unakokwenda
    circumstances forces situations, na ile picha yako ya chini jamaa alikuwa anakojoa pembeni kabisa ya shamba la maindi kwenye majani, kama nyie ni mnakula hayo majani endeleeni kupiga tarumbeta

    ReplyDelete