sidhani kama mtu anachaguliwa kitu cha kufanya katika maisha yake, kupenda chama na nchi yake ni uzalendo na ujasiri mkubwa, wengi wenu hapa ni nyie ambao mnakukana hata kwenu mlikotoka. vijana endeleeni nyie ndo viongozi wa baadae, upinzani na nyie tafuteni wanachama sehemu mbalimbali za dunia achananeni na wabeba box,
Abdalla Issa aliimba "mahulukutabi" mie nasema "mahayawani hawa" Ukiskia fungu la zero ndo hao....!
ReplyDeleteHuu ni upumbavu wa hali ya juu , hivi kweli vijuana hawa walioko nje pamoja na exposure yote bado are clinging to CCM ?
ReplyDeleteNi njia ya kujihakikishia wanaendelea kupata ruzuku ili waweze maliza skuli zao.Sasa kama wao ndio walikupeleka lazima uwaabudu
ReplyDeletemh
ReplyDeleteChemi sasa hapo dada yangu unataka kuharibu Blog yako, haya mambo ya CCM achana nayo
ReplyDeletesidhani kama mtu anachaguliwa kitu cha kufanya katika maisha yake, kupenda chama na nchi yake ni uzalendo na ujasiri mkubwa, wengi wenu hapa ni nyie ambao mnakukana hata kwenu mlikotoka. vijana endeleeni nyie ndo viongozi wa baadae, upinzani na nyie tafuteni wanachama sehemu mbalimbali za dunia achananeni na wabeba box,
ReplyDelete