Daudi Timothy Said Ballali
Viewing: PrivateService: May 23, 2008 @ 10AM
Location: St. Stephen The Martyr
Daudi Timothy Said Ballali
On May 16, 2008 of Washington, D.C.
Husband of Anna Ballali
Mass of Christian Burial will be offered on May 23, 2008 at 10AM at St. Stephen, Washington, D.C.
Interment Gate of Heaven Cemetery
http://www.devolfuneralhome.com/index.asp?sid=6&formid=102&serviceid=960
REST IN ETERNAL PEACE, Mzee Ballali.
Kumbe alikuwa Mkristo! Mungu amlaze mahala pema mbinguni. Amen.
ReplyDeletewhere is the body?
ReplyDeleteKweli tumekuwa WADANGANYIKA!
ReplyDeleteHivi mmeon hiyo Tangazo? Daudi Ballali of Washington D.C.! No mention of Tanzania!
ReplyDeleteWanasema viewing ya maiti ni private! Mimi nitaenda na picha nitapiga niwaletee wanablogu!
ReplyDeletewajameni naomba kuuliza kwani mkewe balali ni mtanzania au? mbona anakataa watu wasiende kutoa last respect? kama mtanzania basi hii mpya.na kama sio mtz siwezi hoji zaidi
ReplyDeleteMs Bennett
Kumbe alikua mkristo ?? He failed standard 7 exams ? and repeat exams and changed name all together.
ReplyDeleteHe was not forefront in his deeds, thats why people even didnot know what faith he belongs.
Amekufa na siri nyingi, na hayo ndio masikitiko yetu.
Anon wa May 22, 2008 2:19 PM, fanya hivyo. Mazishi ya kiana hayo mithili ya mazishi ya Mafios (Mafia)!
ReplyDeleteFyatua picha nyingi tuone who attended the funeral!
Haya sasa mtasikia Anna Muganda anazidi kutamba Uposhi wake. Hayo mahela atafaidi yeye tu sasa.
ReplyDeleteana muganda ndo nani
ReplyDelete