Kesho ni siku ya mwisho wa mktano na sherehe ya kuadhilisha miaka 10 ya kanisa.
Kijana Felix wa IGC akiburudisha wakati wa kutoa sadaka
Pastor Jared Mlongecha akitafsiri maneno ya Evangelist Clint Rodgers
Pastor Jared Mlongecha akitafsiri maneno ya Evangelist Clint Rodgers
Evangelist Clint Rodgers akiongea na moja wa waumini aliyetoka Maryland
Evangelist Clint Rodgers akisoma kutoka Biblia
Wachungaji na waimbaji, 'Les Mas' kutoka Ubelgiji
Hawa evangelist si ndio ma extremists, wanaosema watu huku marekani.
ReplyDeleteWanatafsiri biblia vibaya, na wana quote misemo yao from virtual bible, (not existing bible). Kama huyu pastor wao mkubwa kabisa Hagee, ambae amesema "Catholics ni malaya wakubwa", Hitler ameletwa kusaidi majews waende promise land palestine, mabalaa ya ukimwi na mengine Africa, ni vizuri kuwepo ili kusaidia kuja kwa Yesu.
Sasa hivi sasa wanaanza kuwadanganya mimi na wewe kwenye black churches.
Ndio malobbysts wakubwa wa AIPACC, wanapush ideological agenda kwenye senate, congress na kwengineko..
Mbona kwenye ibada wazungu hawatubagui sisi weusi. Lakini kwenye masuala mengine wanasahau kuwa sisi ni wenzao katika imani. Sisi kina chemi inabidi tujiulize kwa nini hali iko hivi? Daima wazungu ni opportunists
ReplyDeleteBwana Asifiwe Sana! Nasikitika sikuweza kuhudhuira.
ReplyDeleteMdau, North Carolina
Inaeleka akuwa uchungaji ni kazi inayolipa sana
ReplyDeleteNaomba kusaidiwa hivi ni kwa nini makanisa yanayoongozwa na waafrika hayana waumini wazungu wengi? Unakuta yamejaa weusi tu hata yawe Ulaya,Marekani,Asia,au Afrika utakuta akiwa mchungaji mwafrika wazungu hawasali wanajaa waafrika tu.Mzungu akija ujue kaalikwa kuhubiri.Kwa nini?
ReplyDeleteMfano Kenya na Tanzania maeneo kama Nairobi na Dar es salaam kuna wazungu wengi tu lakini huwaoni wakisali makanisa ambayo watu weusi ni wachungaji au mapadri ni kwa nini?
Sababu mojawapo ya makanisa mengi ya wachungaji weusi kuwa na idadi kubwa ya weusi ni kwa sababu sisi weusi wenyewe tunapenda sana kusali makanisa ambayo mchungaji ni mweusi mwenzetu, pia katika ibada weusi wengi huwa na aina moja ya kusifu na kuabudu ambayo huwafanya kujisikia raha zaidi kuliko akiwa na wazungu, katika kusali kuna kuimba na wakati mwingine kuna makanisa hata wanacheza, hivyo kutokana na hili weusi kujiona huru zaidi wanapokuwa pamoja nakuimba nyimbo zenye asili zao pia na wazungu nao hujiona huru zaidi wakiwa na wazungu wenzao.
ReplyDeleteNahisi kuna sababu zingine,
Wazungu huwa hawaamini watu weusi kama wanaweza kufanya jambo mbele yao.Sijui ikijatokea Obama akaiongoza US itakuwaje.
ReplyDeleteSiwapendi wazungu hasa ubaguzi wao.hata huko makanisani wana ubaguzi tu wanachotaka ni sadaka yetu.
ReplyDeleteWaafrika hamna akili. Haya mambo ya yesu na muhamadi kama mpaka leo mnayaamini tuu! basi kazi ipo
ReplyDelete