Leo ni siku ya kutotumia bidhaa za tumbaku kama sigara, cigar, pipe nk. Nichi nyingi wanakuwa na warsha za kuelimisha watu juu ya madhara ya kuvuta sigara na kutumia tumbaku.
Theme ya mwaka huu ni "Vijana kutokuvuta Sigara"
Sigara zinaua! Acheni kuvuta. Na tunajua wanaovuta sigara wananuka. Wanakuwa na harufu ya sigara kwenye nywele na nguo zao na pia midomo yao inanuka! Kwa nini mvuta sigara anakubali kuunguza mapafu yake huko mtengeneza sigara anatajirika. Mvuta sigara ana kohoahoa na anakuwa na makohozi meusi! Na ile kansa ya pafu ya sigara inaua haraka. Hapa Marekani wanasema kama kuna kitu ambayo ina uhakika wa kukua ni kuvuta sigara.
ACHENI KUVUTA SIGARA!
Kwa habari zaidi someni:
http://www.who.int/tobacco/wntd/2008/en/
http://www.dailytimes.com.pk/default.asp?page=2008%5C05%5C31%5Cstory_31-5-2008_pg13_7
Kweli kabisa! Kuna Minjemba inavuta sigara inajiona wa maana. Likifungua domo linanuukaaa!
ReplyDeleteLakini tunajichanganya tunapowaambia watu wavute sigara huku tukihimiza wakulima walime tumbaku, na hapo hapo tunahimiza viwanda vya sigara viongeze uzalishaji ili uchumi ukue!
ReplyDeletetatizo huko kwenu ulipo toka ndio wakataze kulima tumbaku alafu uone kama sigara itatengezwa
ReplyDeleteTHE ONLY WAY TO STOP USE OF SIGARA,IS TO MAKE IT ILLEGAL TO CONSUMER,JUST LIKE MARIJUANA.THIS IS THE ONLY WAY PEOPLE WILL STOP COMMITING SUICIDE KNOWINLGLY.
ReplyDeleteplease stop smoking.its suicide in other words.
ReplyDeleteplease stop smoking.its suicide.
ReplyDeleteplease stop kuvuta sigara.
ReplyDelete30 cigarettes @day and 1gram wead @2day. Which one is worse?
ReplyDeleteHelp me sis...