Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Tuesday, May 20, 2008
Vazi la Taifa
Wadau, nimeona hii picha kwenye blogu ya Michuzi. Anasema hii ni vazi la kitaifa la akina mama. Siyo mbaya, na ina lubega. Naona kama kitambaa ni kaniki iliyo pambwa na bendera. Lakini mshono si mbaya kwa kweli.
Jamani naomba kufahamishwa!ivi kwani vazi la kitaifa tanzania ndilo hilo kweli au ni just kilibambikiza tu.je kweli ndilo vazi rasmi la wanawake wa tanzania au?na nani kasema?vipi kwa wanaume?
Siyo Mama Salma Kikwete huyo? Na yule si Kikwete amekaa kwenye kochi?
ReplyDeleteDa Chemi siku hizi umekuwa modo!
ReplyDeletemi nadhani aliekaa kwenye kochi ni Bernard Membe waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
ReplyDeleteJamani naomba kufahamishwa!ivi kwani vazi la kitaifa tanzania ndilo hilo kweli au ni just kilibambikiza tu.je kweli ndilo vazi rasmi la wanawake wa tanzania au?na nani kasema?vipi kwa wanaume?
ReplyDeleteTanzania hatuna vazi la taifa as such, kama vile Ghana, Nigeria na nchi nyingine......
ReplyDeleteKuvaa nguo iliyo na bebdera ya TZ haina maana limekuwa vazi la taifa, au labda tuseme khanga ndoo vazi letu.... Maoni yangu