Hii picha niliwahi kuipata mwaka 2000 nikamtumia rafiki yangu wa uganda akanigombeza sana ,lakni mpaka leo zikufaham kwanini alimaind. Anyway!Kem nina issue tofauti kidogo!,Hapa bongo kuna gazeti limeripoti kwamba Rais Bush huwa anatumia madawa ya kulevya (Concain) anapokuwa ikulu,je hii issue imekaaje uko?ipo kweli au ni mambo ya magazeti tu?
Chemi, hii picha inaniumiza macho! nadhani nikiiangalia sana kichwa kinaweza kuanza kunigonga.
ReplyDeleteDOH!
ReplyDeleteDo u look Down kwa wenye Makengeza?
ReplyDeleteNadhani hukufikiria Mara Mbili wakati unapost hayo maneno,natumai utawaomba radhi
Hii picha niliwahi kuipata mwaka 2000 nikamtumia rafiki yangu wa uganda akanigombeza sana ,lakni mpaka leo zikufaham kwanini alimaind.
ReplyDeleteAnyway!Kem nina issue tofauti kidogo!,Hapa bongo kuna gazeti limeripoti kwamba Rais Bush huwa anatumia madawa ya kulevya (Concain) anapokuwa ikulu,je hii issue imekaaje uko?ipo kweli au ni mambo ya magazeti tu?
Hiyo habari ya yeye kutumia 'coke' huko white house wameuzima. Tunajua kuwa alikuwa anatumia kabla ya kuwa rais na katika 'ujana' wake.
ReplyDelete