mbona akina dada wanapenda sana kukaa uchi?au ni vizuri wanawake kuonyesha sehemu zao za uchi*..mimi naona show nyingi wanaume hawakai uchi..ni kweli wanawake wamelaaniwa tokea enzi ya eve..kwa kumtamanisha adam .katika bustani ....ndio maana mpaka miaka hii yote bado wanapenda kuwashawishi wanaume kwa kukaa uchi mfilisika wa mawazo
mi sioni hata uchi wenyewe hapo.sema tu na nyie mshafirisha mawazo yenu mbaaali.kila fani iko kivyake,wanenguaji kuvaa hivyo inaleta ladha fulani.sasa anacheza dancehall unataka sijui avae suti?
Kwa nini lazima wananenugua wakiwa karibu uchi?
ReplyDeleteJamani, huyo dada wa chini yuko uchi. Si uongo!
ReplyDeletembona akina dada wanapenda sana kukaa uchi?au ni vizuri wanawake kuonyesha sehemu zao za uchi*..mimi naona show nyingi wanaume hawakai uchi..ni kweli wanawake wamelaaniwa tokea enzi ya eve..kwa kumtamanisha adam .katika bustani ....ndio maana mpaka miaka hii yote bado wanapenda kuwashawishi wanaume kwa kukaa uchi
ReplyDeletemfilisika wa mawazo
mi sioni hata uchi wenyewe hapo.sema tu na nyie mshafirisha mawazo yenu mbaaali.kila fani iko kivyake,wanenguaji kuvaa hivyo inaleta ladha fulani.sasa anacheza dancehall unataka sijui avae suti?
ReplyDelete