Monday, June 02, 2008

Washindi wa Tuzo za Vinara

Kutoka One Game Press Release

WASHINDI WA TUZO ZA VINARA WA FILAMU TANZANIA

Mapambo na Maleba
-Misukosuko 2
-Macho Mekundu
-Kolelo (mshindi)
-Utata
-Copy

Mnasa Sauti Bora

-Adam Waziri (Fungu la Kukosa)
-Creophance Ng’atingwa (Kolelo)-mshindi
-David Sagala (Copy)
-Camillius Kamili (Fake Pastors)
-Swaleh Juma (Misukosuko 2)

Adui Bora kwenye filamu

-Mohammed Aziz (The Body Guard)
-Irene Uwoya (Diversion of Love)
-Sebastian Mwanangulo (Misukosuko 2)-mshindi
-Ahmed Ulotu (Silent Killer)
-Elizabeth Chijumba (Copy)

Mpiga Picha Bora wa Filamu

-Mbalikwe Kasekwa (Misukosuko 2)
-Sylon Malalo (Kolelo)
-Rashid Mrutu (Copy)-mshindi
-Nicholas Mtengwa (Kilio Moyoni)
-Sylon Malalo (Simu ya Kifo)

Mtunzi Bora wa Filamu

-Lucy Komba (Utata)
-Nicholaus Mtitu (Diversion of Love)
-Single Mtambalike (The Stranger)
-Ahmad Halfan (Copy)-mshindi
-Hammie Rajab (Kolelo)

Mwandishi Bora wa filamu (skripti)

-Seleman Mkangara (Malipo ya Usaliti)
-Hammie Rajabu (Kolelo)
-Kulwa Kikumba (Diversion of Love)-mshindi
-Lucy Komba (Utata)
-Elizabeth Chijumba (Copy)

Mhariri Bora wa filamu

-Moses Mwanyilo (Misukosuko 2)
-John Kallaghe (Miss Bongo 1)
-Rashid Mrutu (Copy)-mshindi
-Hassan Mbangwe (Malipo ya Usaliti)
-Sylon Malalo (Kolelo)

Muongozaji Sinema Bora

-Gervas Kasiga (Fake Pastors)
-Jimmy Mponda (Misukosuko 2)
-Kulwa Kikumba (Macho Mekundu)
-Hajji Adam (The Stranger)
-Ahmed Halfan (Copy)-mshindi

Muigizaji Msaidizi Bora wa Kiume

-Aliko Tshmwala (Segito)
-Single Mtambalike (The Stranger)
-Adam Kuambiana (Fake Pastors)
-Ahmed Halfan (Copy)
-Emmanuel Muyamba (Fake Pastors)-mshindi

Muigizaji Msaidizi Bora wa Kike

-Irene Uwoya (Diversion of Love)-mshindi
-Godliver Vedastus (Yolanda)
-Irene James (Miss Bongo 2)
-Susan Lewis (Behind the Scene)
-Thecla Mjatta (Macho Mekundu)

Muigizaji Bora Chipukizi wa Kiume

-Emmanuel Muyamba (Fake Pastors)
-Laurent Anthony (Karibu Paradiso)
-Hassan Nguleni (Body Guard)
-Yusuf Mlela (Diversion of Love)-mshindi
-Uswege Mbepo (Malipo ya Usaliti)

Muigizaji Bora Chipukizi wa Kike

-Irene James (Miss Bongo 2)
-Irene Uwoya (Diversion of Love)
-Fatma Makame (Karibu Paradiso)
-Jennifer Mwaipaja (Silent Killer)
-Grace Michael (Malipo ya Usaliti)-mshindi

Muigizaji Bora wa Mwaka wa Kike

-Lucy Komba (Diversion of Love)
-Grace Michael (Malipo ya Usaliti)
-Halima Yahya (The Stranger)
-Elizabeth Chijumba (Copy)-mshindi
-Riyama Ally (Fungu la Kukosa)

Muigizaji Bora wa Mwaka wa Kiume

-Single Mtambalike (Agano la Urithi)
-Nurdin Mohammed (Utata)
-Jacob Steven (Copy)-mshindi
-Hajji Adam (Miss Bongo)
-Yusuf Mlela (Diversion of Love)

Tuzo za Heshima 2007/8

-Steve Kanumba
-Ndumbagwe Misayo (Thea)

Filamu Bora ya Mwaka

Copy (mshindi)
Crying silently
Diversion of Love
Fake Pastors
Kolelo

5 comments:

  1. Naona Kanumba kapata Tuzo ya kweli safari hii!

    ReplyDelete
  2. Da Chemi vipi picha yako ya Bongo Land II

    ReplyDelete
  3. Labda mwakani tutaisikia kwenye mashindano ya Tuzo za Vinara.

    ReplyDelete
  4. Dada Chemi huyo ano wa 4:46PM amenikumbusha kitu muhimu cha kukuuliza.Nimekuwa nikisikia kwamba umecheza picha mbalimbali hapa bongo na uko(US) je tutafanyaje tzipate?kwani sina hakika kama hapa bongo zipo?pia vipi kuhusu vitabu ulivyoandika?mimi ningependa kusoma kama unavyo na nitavipataje?
    zaka

    ReplyDelete
  5. Hongera washindi wote!
    Maonyesho Ijumaa ilikuwa safi sana!

    Tungependa kuwakaribisha waongozaji wote wa filamu hapa Tanzania kuzipelekea filamu zao pale Alliance Francaise – kwa ajili ya uchaguzi wa awali (preselection). Filamu za kiswahili, hata za kiingereza, za aina na mitindo zote zinakaribishwa.
    Tafathali mnaombwa kuja kabla ya mwisho wa mwezi wa sita kuzifikisha hapo.

    Filamu zitazochaguliwa zitaonyeshwa wakati wa Tamasha la filamu za Ulaya hapa Dar es Salaam. Tamasha hili linahuandaliwa kila mwaka, watanzania na raia wa nchi mbalimbali duniani hufika kuangalia filamu tofauti. Tamasha hili huandaliwa na balozi za nchi za Ulaya na Kamisheni ya Ulaya hapa Tanzania.

    Mwaka huu, kuanzia tarehe 10 mpaka tarehe 30 mwezi wa kumi, takribani filamu arobaini kutoka Ulaya zitaonyeshwa. Na zaidi kwa mara ya kwanza filamu za Tanzania zitaonyeshwa jijini Dar es Salaam na Arusha.

    Kama unahitaji maelezo zaidi yoyote, kujaza fomu, kujisajiri na kuumua filamu zako, nenda Alliance Francaise, barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nyuma ya Las Vegas Casino, Dar es Salaam. Tel. (022)2131406 / 0755481374 or email director@afdar.com, cultural@afdar.com.

    Karibuni sana!

    Regina
    EFF Coordinator

    ReplyDelete