Saturday, August 09, 2008

Michuzi Blog - Taarifa

Kaka Michuzi amepata matatizo ya kiufundi kwenye globu yake. Ametume ujumbe ufuatayo:

***********************************************************
KUNRADHI WADAU WA michuzi-blog.com,

KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI KWA HOST WETU, GLOBU YETU YA JAMII IMEPATWA NA KWIKWI KWA MUDA KIASI, ILA MAFUNDI WAMENIHAKIKISHIA KWAMBA WANASHUGHULIKIA TATIZO NA LIBENEKE LITAENDELEA KAMA KAWA MUDA SI MREFU UJAO.

SAMAHANI KWA USUMBUFU KWANI KILA UNAPOGONGA
michuzi-blog.com UNAKUTA HOLA.


- MICHUZI

11 comments:

  1. Kaka Michuzi bora urudi kulekule kwa zamani, maana UPGRADING imekuwa DOWNGRADING sasa..........!

    ReplyDelete
  2. Michuzi hebu acha upumbavu. Rudi Blogspot!

    ReplyDelete
  3. Michuzi kakimbilia kitu ambacho hana uwezo nacho. Shule yenyewe kiduchu halafu anaparamia mambo makubwa. Ujinga mtupu

    ReplyDelete
  4. Muhuni sana kijana huyu Michuzi

    ReplyDelete
  5. waswahili bwana, blog mnatembelea bure ila mnavyoponda na kulalamika utadhania mnamlipa Michuzi. Halafu watoto muwe na adabu; nawaita watoto maana mtu mzima na akili ake hawezi kuandika upuuzi mlioandika nyie maanony hapo juu; mfano we wa 7:29 unayemuita Michu mpumbavu na we wa 4:41 uliyemuita mjinga na we wa 4:42 ulimuita mhuni. I am pretty sure you are no more than 21; maybe 22 atmost. Na Michuzi is turning 46 in a few weeks!! Anaweza kuwazaa huyu mheshimuni.

    Halafu mnaong'ang'ania angebaki kulekule; hata hamuelewi mnachosema. blogspot ni free service therefore space is limited. Michu has been blogging for 4 years now on a daily basis na anaweza sio post 1 au 2. Sometimes hata 10 kwa siku; most of them pics which take more memory than text. Therefore he was running out of space. Bado platform na blogging facility anayotumia ni ya blogger (google); so it's not like he's changed much. Come on, even the IT systems for the largest coroporations do crash at times; sembuse blog ya Michuzi.
    Give him a break.

    The guy has his own responsibilities kuanzia na day job yake kama mpiga picha mkuu wa TSN na pia biashara yake ya photopoint. Kublog despite udhamini anaoupata hakumuingizii even a fraction of how much he should be earning for the time he spends doing it. Therefore hawezi kuacha kila kitu ahangaikie kurekebisha matatizo ya blog the moment ikitokea!!

    ReplyDelete
  6. Asante anonymous wa 11:37am kwa mchango wako mzito.

    Pia asante kwa wengine wote waliotoa maoni. Naweza kuelewa 'frustrations' zenu na kukosa Michuzi. Kwa kweli wengi wamelewa Michuzi kama mlevi wa heroine anavyokuwa na hamu ya fix.

    Kaka Michuzi ni mtu wa busara na alivohama kwenda alipo sasa ilikuwa kwa manufaa ya wasomaji wake.

    ReplyDelete
  7. Aliyeandika hiyo risala ndefu ni Michuzi mwenyewe wala sio mwingine. Sisi tunamjua sana Michuzi na wala mtu hawezi kutudanganya. Tumekuwa tunawasiliana na Michuzi kwa muda mrefu. Suala bwana mdogo Michuzi sio kujibu kwenye blog ya wenzio, fufua kimeo chako. Na wewe Chemi, tangu uanzishe blog hii umekuwa na busara sana, sasa hapa kwa mtindo huu utajishushia heshima.

    Kwani nani kasema hawezi kulipia, hebu afunge basi hiyo blog aone kama watu watakufa. Mbona tunaingia hapa Swahili Time na tunapata news ambazo zimeenda shule, kwanza habari ya mpiga picha na mwandishi ipi ina ubora? Acha kutubabaisha bwana wewe, ushamba tu unakusumbua. Ushamba mtupu anon 11:37 AM

    ReplyDelete
  8. Chemi siku zote ni mtu wa busara, big up mama, sio Michuzi anakuja kutukana watu hapa

    ReplyDelete
  9. Shule pia inasaidia ndio maana Chemi yupo cool na heshima tele.

    ReplyDelete
  10. Ina maana wewe Michuzi uliyejiita Mtatifikolo, kwani hakuna wendawazimu wanaozidi miaka 46 unayoringia? Umri ni nini bwana, ina maana hapo Daiy news hakuna wadogo kuliko wewe na wanakuzidi elimu na maarifa. Acha hizo Issa

    ReplyDelete
  11. inasikitisha kuona watu jinsi wanavyokimbilia kurusha mitusi kila wakipaat fursa. Aliyepost hapa sio Michuzi, but it is someone who is a fan.

    Thanks for the big up Dada Chemi, I am blogger and I understand how much time it consumes that's why I felt sorry for Michu guys were attacking him like that. I posted under an alias for obvious reasons. I do understand the frustration of not getting what you need when you crave it, naungana nawe katika hiyo Heroine comment dada. Ingawa hawa watu wamerudi tena hapa na kumtukana Michuzi na kujidai hawaitaki hiyo blog, ila we all know the truth behind.

    ReplyDelete