Wake wa Mzee Mandela.
Mke wa sasa Nelson Mandela, Mama Graca Machel (kushoto) akimpiga busu mke wa zamani wa Mandela, Winnie Mandela (kulia), kwenye sherehe za kusherekea birthday ya 90 ya mume wao. Naona wanapatana vizuri tu. Je, wana-share siri za kumfurahisha mzee?
chemi hapo umechemsha. hapo mke ni mmoja tu huyo mwengine sasa si mke tena alikuwa mke zamani akajitia wazimu mzee mzima akapiga na chini. kwahiyo usimuadress kama ni mke bali ni mzazi mwenziwe kwa kiswahili safi. mke ni graca machell. huyo winnie ni mtalaka wake na sio mkewe.
ReplyDeleteKAMA WANAONGEA HIVI¨
ReplyDeleteWINN=vipi MZEE speed yake bado ile ile 120.
GRACA=aah wapi mwezangu ulifaidi siku hizi kachoka anatembelea gea namba moja tu kwa 24hrs
WOTE=hahah basi ebu sogeza mdomo shosti tupeane raha wenyewe
yaani jose umesema kweli mimi mwenyewe nashangaa sana kuona wanakulana denda?? ndio maana mzee hawezi sasa bora wapeane raha wenyewe?? duniani kuna mambo sana
ReplyDeleteUkweli wanapashana nani anaweza kumpa mavituz bora zaidi. Hapo walikuw karibu watwangane mangumi lakini baad aya kumeza champagne Winnie kaamua Gracca ambusu kwenye domo!
ReplyDeleteHii picha inasema mengi! DUH!
ReplyDeleteMZEE MANDELA= hahaha waacheni hao udhaifu wao naujua mimi hasa WINN alinikoma pindi nilipotoka prison alikua apumui huyo, na huyu GRACA namtafutia kosa nimteme kisha nikachukue chombo alichoniachia NYERERE kule butiama halafu jirani (ZAMBIA)hapo mke wa MWANAWASA anabip hata 40 ya mumewe bado au ndio kashasikia mi ndio mzee wa vimeo
ReplyDeleteMzee Mandela - Wake zangu wananiandalia nini leo usiku....
ReplyDeleteWanajua mapigo ya Mzee
ReplyDeletewe ano wa Aug 23,2008 10:03 wewe ndio umechemsha,sio Graca machell.Ni Graca Madiba Mandela.
ReplyDeleteJose, Hujatulia!! teh teh teh.
ReplyDelete