Saturday, August 16, 2008

Wanajeshi wa Tanzania wako Iraq?


Nimepata hii kwa e-mail. Lakini jamani, ni kweli huyo jamaa ana bendera ya Tanzania kwenye Uniform. Ni Mwanajeshi wa kiTanzania huyo? Najua kuwa kuna waTanzania wenye Green Card waliojeshi la Marekani lakini wao wanachukuliwa kama wanajeshi wa kiMarekani na kuvaa benedera ya Marekani.

Na maskini jamaa kaumia kweli. Atapelekwa Marekani kutibiwa?

***********************************************************

Yahoo news has recently posted the picture by Andrea Comas with above with the following caption "A U.S. soldier (L) from the Second Stryker Cavalry Regiment helps a wounded Iraqi soldier at the site where an explosive device went of inside a house during security operations in Diyala province August 8, 2008".But if you look carefully on the left shoulder of the injured soldier, you will see a badge with Tanzanian flag.

This has gotten me and other readers puzzled: Did Tanzania sent an Army contingent in Iraq?

If so, what are they doing there?

Who authorised it? Who is footing the bill?

If this is not the case, why should the US or Iraqi army badges with Tanzanian flags?

If Tanzania has an army contingent, then the Government need to tell the people and they should braced themselves for difficult questions. If, Tanzania did not send troops in Iraq, then the Foreign Ministry needs to follow up on this matter with US or Iraq Government on why their are using badges with Tanzanian flags.

Dr. Ali Salim Ali.MD
Ministry of Health Botswana
Department of HIV/AIDS Prevention and Care

10 comments:

  1. Kabisa! hiyo hi bendera ya Tanzania!

    Bush alivyokuwa Bongo alifanya mpango kimya kimya na Kikwete nini. Kumbuka Bush alivyoondoka kwa raha Bongo.

    ReplyDelete
  2. sidhani kama hii ni bendera ya Tanzania ukiangalia kwa makini haina rangi ya blue .Inawezekana ni ya Jamaica au any other country.

    ReplyDelete
  3. Hiyo siyo bendera ya Jamaica. Stripes za Jamaica ni kama X! Pia bendera yao scheme ni kijani, black na njano.

    ReplyDelete
  4. Da Chemi na wengine wote wote.

    KAWA MUDA mfupi na elimu yangu ya chini ya mwembe..Tanzania hatuna bendera yenye rangi nyekundi au damu ya mzee..hapo kati kati ya bendera dala ya hiyo red ialipaswa kuwepo black..so huyo siyo "mjeda"wa bongo..

    ReplyDelete
  5. Hiyo ni bendera ya Bongo na hakuna rangi nyekundu kwenye mstari mweusi wa kati, kuwa makini !!

    ReplyDelete
  6. Edo sidhani kama kuna nyekundu, brown au maroon. I think the middle stripe is black but looks brownish cause of the dust on the uniform. That definitely looks like green-yellow-black-yellow-blue; rangi za Tanzania.
    However I tried searching for info online about countries with troupes in Iraq and I did not see Tanzania being mentioned anywhere; not even on MNF-I official website. This brings about a great deal of confusion. Because unless that flag represents some military unit or regiment from another country; then it's definitely the flag of Tz.

    PS: You can check the world flags here. No other country's flag comes even close to resembling the badge on the soldier's uniform

    ReplyDelete
  7. Watanzania wenzangu, na marafiki wengine, acheni udaku na kupoteza muda hapa!

    Majeshi ya Amerika yana insignias za kujitambulisha: Marines, Army, Navy na Coast Guards.

    Hiyo ni mojawapo ya insignias hizo. Natumaini ni ya Marines!

    Fanyeni homework yenu vizuri ya kujielemisha!

    Acheni udaku na kupoteza muda hapa na kuseaa kuwa huyo ni askari wa Tanzania. Achanenei na umbumbumbu!!!!!

    ReplyDelete
  8. Acha ushamba, insignia ya Marines siyo bendera ya Tanzania.

    ReplyDelete
  9. Hii ni bendera ya Namibia.

    Kisichoonekana na ile nembo ndogo pale juu. hebu tafuteni bendera na namibia muangalie

    ReplyDelete