Tuesday, August 26, 2008

Will Smith safarini Bongo



(Picha kutoka Michuzi Blog)


Nimefurahi mno kuwaona akina Will Smith na mke wake Jada Pinkett Smith safarini Tanzania. Hasa baada ya kumwona Jada akikata mitaa ya Boston mwaka jana kwenye shuti ya sinema mpya The Women. Bahati mbaya sikuweza kushiriki kwenye hiyo sinema.

Haya papparazi wa Zanzibar tupeni Scoop! Natumaini Will Smith na Jada watapapenda Tanzania kiasi cha kutaka kushuti sinema huko. Mnakumbuka walishuti ile sinema ya Ali, Msumbiji na Ghana.

11 comments:

  1. Da Chemi acha upuuzi, Will Smith na mkewe wamepita tu Tanzania (transit), wenyewe wanaenda ZANZIBAR(Nchi ya amani na ukarimu)kula raha,sababu wanajuwa Tanzania ni ujambazi, wachuna ngozi, wauwa mazeruzeru na mafisadi. Hawezi kukaa Tanzania hata masaa 3! Kwa hiyo Rekebisha sentensi zako!!!!

    Angalizo:Zanzibar sio Tanzania.

    ReplyDelete
  2. mzanzibar 100% una siasa kali kweli! Duh!

    Kwa hiyo kwa maoni yako walipita Tanganyika wakielekea Zanzibar.

    ReplyDelete
  3. MZNZ 100% UNAWEZA KUWA NA HOJA YA MAANA LAKINI UNAKOSA HESHIMA, BUSARA NA UJUZI WA KUWASILISHA UNACHODAI. MARA NYINGI UNATAWALIWA NA JAZBA, HASIRA NA MATUMIZI YA LUGHA KALI KATIKA KUFIKISHA UJUMBE. NI VYEMA UKAANGALIA LUGHA UNAYOTUMIA KWA SABABU HAPA NI PAHALA PA WATU WENYE HESHIMA NA MAKINI.UNAPOTUMIA LUGHA KALI NI RAHISI KWA YULE MWENYE MAWAZO TOFAUTI NA WEWE AKAWA MBISHI ZAIDI BADALA YA KUMSHAWISHI NA KUKUBALI HOJA YAKO. JARIBU KUWA MWEREVU NA KUTUMIA BUSARA, HEKIMA NA NGUVU YA HOJA UNAPOFIKISHA UJUMBE WAKO. EPUKA KUTUMIA HOJA YA NGUVU NA UBABE.HUO NI USHAURI WANGU KWAKO

    ReplyDelete
  4. Naaam Da Chemi maneno yako swadakta, walipita tu TANGANYIKA (ambayo imegeuzwa jina inaitwa TANZANIA)na kuelekea nchi ya Zanzibar!

    ReplyDelete
  5. naamini nakubaliana nawe100½ by the way naona will smith hajui kama zanzibar ni nchi,yeye anajua tanzania,usikanushe hilo.basi nafikiri akaifika unguja hapo ndio ataujua kama kuna pemba amabyo ipo wete na chake chake pia..alafu hapo atafahamu kwamba kuna wanzanzibar na wanzanzibaho.na hao wapemba...kwa hivyo raha ipo kwa wageni na sio wanzanzibara..hebu anagalia hiyo kasoro ....tanganyika ni mswano.take it or leave it,or swallow it! peace of my advice

    ReplyDelete
  6. WE MZANZIBARI MLA UROJO %100 NGOJA UONE HUKO KWENU UNAKODAI NI NCHI ATAKAA SIKU NGAPI ALAFU NDO UANZE KULALAMIKA KAMA MTU ALIYEVIMBIWA NA MAKANDE... WILL ANARUDI DAR SOON THEN ANAKWEA PIPA KWENDA MBUGANI AM SURE HAWEZI KUKAA ZENJI KWA ZAIDI YA SIKU TATU MAANA CHUMBA CHAKE PALE KEMPISKI KIKO CHINI YA UANGALIZI MAALUMU, HAYA MLA UROJO NGOJA TUKUACHE ILA ZINGATIA USHAURI ULIOPEWA NA ANON August 26, 2008 10:22 PM
    AMEKUSHAURI VIZURI SANA KAMA UTAENDELEA KUPAYUKA BASI MIMI BINAFSI NITATHIBITISHA KUWA SHULE YAKO NI NDOGO SANA

    ReplyDelete
  7. Anon Aug 26, 10:22.PM

    Naomba nikujuvye;
    Sio inawezekana,bali NNA HOJA YA MAANA!

    Pili kuhusu busara, inategemea na kiwango chako cha elimu na jinsi ulivyoelewa neno busara! Hata kunyea suruali wakati mwengine ni busara kulio kujisadia njiani au kinyumeche ( I mean vice versa)!
    Busara unayoitaka wewe hapa, alishaitumia ABEID AMANI KARUME 1964, matokeo yake ndo haya, watanganyika (vichogo) wanasema zanzibar si nchi bali ni kama wilaya (Kama ilivyo kibaha) tu na rais wa zanzibar nikama rais wa YANGA lol!

    Kuhusu ujuzi wakuwakilisha nnachodai! Haa! Inanifanya ni hoji ilinijuwe kama unamaanisha ulichoandika au hujui maana ya neno ujuzi! Kwasababu kama ujumbe umekufikia basi nnao ujuzi wakutosha wakuwasilisha nnachodai!

    Zaidi ya hapo,kwa kukukuelewesha tu hakuna kanuni (formular) maalum katika kudai chako!

    Anon August 27, 2008 1:28 AM
    Najuwa unatamani sana yawepo hayo unayoyaota, na aliyokuwa akiweweseka Babu yako (Nyerere), ya kuwagawa wazanzibar kwa misingi ya upemba na unguja! Lakini hata mkeshe kwenye makanisa na miskiti VICHOGO nyie, wazanzibar kamwe hawatabaguana, hata mmpandikize chuki vipi ili wabagauane ili mzidi kuwatawala basi hamtafaulu! Amin na kwambia Zanzibar ilikuwa moja na wazanzibar walikuwa pamoja kabla ya muungano huu feki wa 1964, kwa hiyo si muungano uliowafanya wazanzibar wawe pamoja, bali muungano ndio unaowapandikiza chuki wazanzibar ili waanze kubaguana!

    Will na JADA, naamin watakuwa mabalozi wazuri juu ya ukarimu na upendo wa wazazibar, kama hawatakutana na VICHOGO wanaofanya kazi kwenye hotel na kitalii zanzibar na kuwaibia!
    Maana hotel za kitalii zanzibar 60%ya wafanyakazi ni vichogo!

    Mie naomba maneno yangu, usiyachukuwe wala usiyameze, huu ni msumari unachoma kote kote....! Lakini HABARI NDO HIYOOOOOOOOOOOOO!

    ReplyDelete
  8. mimi nasubiri siku hiyo ambayo zanzibar itakua nchi,by the way unguja ni colony la tanganyika.take it or leave,no matter what...mbona hamjengi kwenu pemba?mnang'ang'ania bongo..jiulize ,au kama ulivyosema mmepandikizwa kasumba na nyerere?au mnataka waarabu waje kuwajengea...utumwa mambo leo.bwana mnzanzibar100%...msiletee jeuri yqa kambare kwani kila azaliwae shariti awe na sharubu.lazima muwaheshimu wakubwa zenu..kuwa na ndevu sio ukubwqa..akili ni mali....take it or leave it 'peace of my advice.
    MTU WA KALE NAONGEA

    ReplyDelete
  9. Hata hapo Zanzibar kwenyewe wanapita tu kuna kakisiwa kana hoteli nzuri ambayo hata wazanzibari wa 200% hawakanyagi, hiyo visa ya kwenda zanzibar waliipata ubalozi upi wa zanzibar marekani au uliwatumia na bakuli la urojo? unaambukiza chuki zako kila blog na upuuzi wako nenda kapare miwa

    ReplyDelete
  10. Shwadida bin shadadi loh nilikuwa sijayasoma maoni ya mpara miwa mwenzangu hayo,yailahi wajameni,yaani mpara miwa huyu kachangamka kutoa hoja ya zanzibari na Tanzania,kasahau kusema Tanganyika hadi pale da chemi alipomsahihisha,

    na uyu kuita watu wala chakula vichogi ndio nini,atata tia sukari shubiri uyu,alafu afanya jisifia eti ndo wafanyakazi wa hoteli kwa wala urojo,wewe hauoni iyi ni sifa,wa wala chakula kuwachukulia nafasi zetu za kazi,au hauni tulivyozoea kukaa barazani na kucheza nini ile mdako,haloo nitarudi
    mla urojo niliyeamia kwa wala chakula,

    ReplyDelete
  11. Habari zenu wasomaji wote, japokuwa muda mrefu umepita ila sitapenda kukaa kimya na kufumbia macho ujinga wa watu kama hao wanaojiita wazanzibari,We mzanzibar fukala ndio maana hata mawazo yako yapo kifukala wenzio wajanja walisha toka kwenye hayo mawazo wapo ndani BongoLand wanapiga bussnes wamechoka kula ulojo ukitaka kuwapata njoo ilala, magomeni ikishindwa njoo hapa namanga.

    Mnajidahi nini nyie wakati kila kitu mnategemea BONGO, tutachukuwa umume wetu tuone huyo Wiil Smith mtatembeza kwenye giza. Mbuzi wee!

    ReplyDelete