Thursday, September 11, 2008

Steven Kanumba.com


Wadau, mcheza sinema maarufu wa Tanzania, Steven Kanumba ana website yake sasa.

Anawakaribisha mtembelee: http://www.kanumba.com/

Hongera Kaka Kanumba! Ni hatua nzuri ya kujitangaza kama msanii.

10 comments:

  1. mbona kila ukikriki inasema owner ameeksidi bandwidth, kanumba anajua hili au zuga

    ReplyDelete
  2. CHEMI MWAMBIE HUYU DOGO ATUMIE KISWAHILI KATIKA WEBSITE YAKE. NI AIBU KUWA LUGHA YA KIINGEREZA IMEJAA MAKOSA YA KISARUFI. MBONA WENGINE WANATUMIA KISWAHILI NA HAKUNA TATIZO? WEWE UPO USA NA UNATUMIA KISWAHILI KWA NINI ALAZIMISHE LUGHA NA HAJUI?

    ReplyDelete
  3. Hata mimi napata hiyo message ya 'execeeded bandwidth'. Huenda plan aliyochukua haikutegemea kupata watazamaji wengi.

    ReplyDelete
  4. napata hii message Da Chemi

    Bandwidth Limit Exceeded
    The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
    --------------------------------------------------------------------------------

    Apache/2.2.9 (Unix) mod_ssl/2.2.9 OpenSSL/0.9.7a DAV/2 mod_auth_passthrough/2.1 mod_bwlimited/1.4 FrontPage/5.0.2.2635 PHP/5.2.6 Server at www.kanumba.com Port 80

    ReplyDelete
  5. Nami napata meseji hiyo hiyo. Naona alichukua plan ndogo. Itabidi tusubiri mwezi ujao au mpaka aongeze bandwidth. Plans zingine za hosting hazifai kama wewe ni celebrity na utakuwa na hits nyingi.

    ReplyDelete
  6. dada chemi tunasikia kanumba kwa sasa yuko London pengine hajui tatizo la website yake tusubiri arudi arekebishe by the way website yake niliipitia ni nzuri kwakweli.kanumba popote ulipo turekebishie website yako tupate uhondo na hongera kwa hatua uiyofikia

    ReplyDelete
  7. damn,a Movie Star can't even afford Advanced Hosting?!?!?

    lemme know if you need some donations kanumba :)

    ReplyDelete
  8. anonymous acha madongo mshkaji! lakini naomba ujua i also wanna make a donation....if need be..... ama aanzishe kanumba.blogspot.com...au vipi Da Chemi????

    ReplyDelete
  9. Hongera mdogo wangu kaza uzi ninajua watanzania wengi watakuponda lakini usijali fanya kama huwasikii.Tatizo letu wabongo siyo kurekebishana ila ni kupondana ndiyo maana hatuendelei.Hamna mtu asiyekosea kiingereza hata hwingereza mwenyewe huwa anakosea na ni lugha yake ne kazaliwa nayo,sembuse wewe ambayo ni second language?kama siyo third language.cho muhimu ni kurekebishana na kushauri uendelee kublog kwa kiingereza hao wanao lalamika wanakosa nafasi ya kumwaga utumbo wao na lugha haipandi

    ReplyDelete
  10. Kanumba, wala mtu asikubabaishe baba. utani siku zote upo lakini what i can tell you, na hata Dada yetu Chemi will tell you, very few people watakushangilia ukiwa katika harakati ya kuanzisha kitu chochote kile. Na sio wabongo tu wanaoponda...everyone else baba. Kwa hiyo boss kaza buti baba. When you start something and it doesnt seem to work out the way you wanted, just do it agin and again and again until you get it right. Mradi you will have tried. madongo na majungu baba utayapata mda wote tu. Infact when you start something na mtu yeyote asiiponde then be VERY WORRIED. LAKINI WAKIPONDA, JUA KWAMBA, YOUR ON THE RIGHT TRACK. GET THAT SITE GOING KANUMBA. WE WILL ALWAYS SUPPORT YOU. BELIEVE IN YOURSELF, PRAY TO GOD AND ALWAYS BE REAL. BIG UP...

    ReplyDelete