Reli ya kati ndo inapoelekea, 'unatoa tenda kwa kampuni ambayo kwao mambo ndo kama yanavyoonekana'. Uma wa Watanzania wavuja jasho mpaka lini tutaendelea kunyanyaswa na viongozi wanaojali zaidi matumbo, kuliko uzalendo? Asante Julius ulitutoa ujinga, japo viongozi hawakuelimika.
kweli kabisa
ReplyDeleteKenya
Reli ya kati ndo inapoelekea, 'unatoa tenda kwa kampuni ambayo kwao mambo ndo kama yanavyoonekana'.
ReplyDeleteUma wa Watanzania wavuja jasho mpaka lini tutaendelea kunyanyaswa na viongozi wanaojali zaidi matumbo, kuliko uzalendo?
Asante Julius ulitutoa ujinga, japo viongozi hawakuelimika.
R.I.P J.K.Nyerere.
Mdachi.
Hivi wanturingia nini hao wahindi wa Bongo?
ReplyDelete