Nawatakia wadau wote heri ya mwaka mpya! Ninaomba 2009 iwe mwaka mzuri kwa wote. Pia ninaomba mungu apumzishe kwa amani roho za wasioweza kuona mwaka 2009. AMEN.
Hapa Boston tumeanza mwaka mpya na baridi kali na theluji mwingi. Baridi kama Alaska. Upepo umekuwa -15 degrees!
2009 uwe wa KiSwahili murua. Naona KiSwahili kinaendelea kukulamba chenga tartiiibu....
ReplyDeleteNamna gani pale Da Chemi?
KiSwahili maiolodoi?
Subi, niliposti baada ya kunywa Champagne ya New Year! LOL! Nimekwisha kunywa supu ya makongoro najisikia freshi sasa.
ReplyDeleteUtasingizia champagne....lakini mara kadhaa umekuwa unaandika kiswahili kibovu...tumeshakuzoea....ingawa mazoea yana taabu!
ReplyDeleteSubi wa Arusha nini???Naona ni
ReplyDeletemayelo doi sio maiolodoi.Dada Chemi pole na baridi.Dawa ni blanketi chapa mtu.Believe me I know.Just joking.Happy New Year.
Wadau, msichanganye champagne na konyagi utapata bonge la headache na magafula tumboni! Khaa! Nimekoma. It's either one or the other!
ReplyDeleteMeanwhile, its back to work!
Anon wa January 02, 2009 4:13 AM,
ReplyDeleteAsante kwa sahihisho. Nilidandia neno kwa kusikia na si kusoma. Rafiki aliishi Arusha akajifunza maneno kadhaa kwa kusikia, mojawapo likiwa ni mayelo doi lakini hakufahamu inavyoandikwa, kila nikikosea huwa anauliza, 'Subi umekuwa maiolodoi sasa?'... kumbe ni 'mayelo doi'.
Asante!