Friday, January 16, 2009

Rais Bush amekoa maisha ya watu zaidi ya Milioni 10

Rais Bush anachukiwa na watu wengi sana hapa Marekani na duniani. Lakini alifanya kitu ambacho watu wanasahau, kutoa misaada na dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI barani Afrika na Caribbean.

Kwa kweli ameokoa maisha ya watu na vizazi vijavyo Afrika, lazima tumpongeze kwa hiyo.

Dr. Bill Frist anasema:


In my annual medical mission trips to Africa during the Bush administration, I saw the cost of treatment for HIV with life-saving antiretrovirals (ARVs) drop from $4,000 a year to $125. The number of Africans on ARVs jumped from 50,000 to 2.1 million.

na:

Our visits with villagers all over the country opened our eyes to how Bush's five-year, $1.2 billion effort to combat malaria has provided 4 million insecticide-treated bed nets and 7 million life-saving drug therapies to vulnerable people. Yes, George Bush the healer.

Soma:

http://www.cnn.com/2009/POLITICS/01/15/frist.bush/index.html

2 comments:

  1. CHEMI ACHA KUMTETEA MUUWAJI NA MFITINISHAJI. RAIS WA VENEZUELA HUGO CHAVEZ ALIMWITA SHETANI NA KWELI BUSH NI SHETANI. HANA MAISHA ALIYOWAOKOA WAAFRIKA.

    NAYO MADAWA YAPO KATIKA MAJARIBIO SASA UNADHANI HUKO ULAYA NANI ATAKUBALI KUFANYWA KUWA NI MAABARA YA KUJARIBIA MADAWA. ILA AFRIKA KUTOKANA NA UMASIKINI WETU NDIO TUPO TAYARI. NANI ANA UHAKIKA KUWA HAYO MADAWA YANASAIDIA MAANA BADO KUTHIBITISHWA.

    KWA MANTIKI HIYO HUYU SI WA KUTETEWA HANA WEMA HATA KIDOGO. WANGAPI WAMEKUWA IRAQ, AFGHANISTAN, PALESTINA, KWA AJILI YA MAELEKEZO YAKE. WANGAPI WALIKAMATWA NA KUWEKWA KATIKA VIZUIZI VYA SIRI HUKO ULAYA NA MAREKANI KWA KUTEKELEZA MAAGIZO YAKE? WANGAPI WAMEATHIRIKA KWA M ATATIZO YA MSUKOSUKO WA UCHUMI ALIOSABABISHA YEYE? WANGAPI WAMEPOTEZA KAZI, WAMEPATA ULEMAVU, NK KWA AJILI YA MAMBO YAKE.

    HUYU NI MUUWAJI MUNGU ANAMSUBIRI AKIFA NA YEYE AONJE JOTO YA JIWE. KMA NINA KIATU NAMRUSHIA USONI MWAKE

    ReplyDelete
  2. wewe mdau unaeita wenzio ni mashetani are u perfect mbele za Mungu? sio kazi yetu kuhukumu flani ni wa jehanam, ushabiki sio mzuri we all people of God, and God loves all people hata kama kuna wapo wasiomwamini,jiulize kama Mungu asingekuwa na rehema na huruma nani angebaki? ingekuwa ukitenda madhambi basi Mungu anakumaliza hapo hapo. but the love of God is so great.

    Ms Bennett

    ReplyDelete