Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Sunday, February 08, 2009
Safari ya Anguilla katika picha
Ferry Anguilla.... Safari ya kurudi Boston umeanza!Kwa heri joto!
Mimi na mdoli uliyotengenezwa na Auntie B
Bandari ya Anguilla
Hey There! Afternoon! Hapa niko Gwen's Reggae Bar Nafaidi Ting soda inatengezwa na madansi
Mimi na mdogo wangu Malaika ambaye amaeolewa MAnguilla
Ugali wa Anguilla unaitwa Fungi (fun-jai) na inachanganywa na bamia. Hapa ni Restaurant maarufu inaitwa Johnno's ...wana bendi ya reggae kwa ajili ya watalii, nasikia wikiendi panajaa watalii na mastaa.
Asante kwa kushare. Sikujua na mahala panaitwa hivyo. Vacation is a good thing hope you enjoyed it. Mbona hatuoni picha ya mzee kwani uko bado bado. Kuna mtu alikuuliza hukutaka kujibu. Uchoyo namna hiyo kujifurahia mwenyewe.
Kiswahili chako kinakera....Safari ya kurudi Boston umeanza....Hapa ni Restaurant unaitwa Johnno's....
ReplyDeleteAsante kwa picha Da Chemi!
ReplyDeleteAsante kwa picha Da Chemi, fahari ya macho! Karibu tena japo kwako.
ReplyDeletePunguza unene dada si mzuri
ReplyDeleteAsante kwa kushare. Sikujua na mahala panaitwa hivyo. Vacation is a good thing hope you enjoyed it. Mbona hatuoni picha ya mzee kwani uko bado bado. Kuna mtu alikuuliza hukutaka kujibu. Uchoyo namna hiyo kujifurahia mwenyewe.
ReplyDelete