Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Saturday, April 18, 2009
Chemponda Hair Salon - Musoma
Kuna mdau amenitumia hii picha. Hii saluni ya nywele iko kwenye eneo la Baruti huko Musoma. Kwa kweli siwafahamu, na nimewauliza ndugu nyumbani wanasema hawawajui, hivyo ni jina tu wadau. Sio mradi wangu.
Mama Fadhil Cafe na Chemponda Hair Salon, Baruti area, Musoma
Mbaya zaidi kibanda kina alama ya X ! Hivyo wakati wowote kinaweza kuvunjwa
ReplyDeletePeleka vijisenti dada ukuze jina lako linanyanyasika
ReplyDelete