Thursday, April 02, 2009

Ombi kutoka kwa Familia ya Marehemu Prof. Ken Edwards

Prof. Ken Edwards (Joshua Mkhululi)

Nina ombi kutoka kwa mama mzazi na familia ya marehemu Prof. Joshua Mkhululi (Prof. Ken Edwards) walioko Canada na Jamaica. Wana omba watu wenye story/picha za Ken Edwards na maisha yake Tanzania wawatumie.

Pia wamesikitishwa mno na suala ya marehemu kanyimwa uraia wa Tanzania na wanauliza nini kinaweza kufanyika ili apewe posthumously . Wanasema kuwa Tanzania ilikuwa maisha yake, moyo wake ulikuwa Tanzania ingawa alizaliwa Jamaica na kwa sababu hiyo wao walimkosa kwa miaka mingi. Mama yake mzazi yu hai na ana miaka 84. Wanasema ana huzuni kubwa. Wangependa kusikia habari kama, jinsi alivyomtetea mnyonge enzi zile za mambo kwa kaya, na jinsi alivyosaidia ile timu ya mpira ya vijana.

Wadau wenye story na picha wanaweza kutumia mpwa wa marehemu, Michael Gardner michaelsgardner@hotmail.com au wanaweza kanitumia mimi chemiche3@yahoo.com na nitazafikisha kwao.

***********************************
SPECIAL REQUEST

The family of the late Prof. Ken Edwards (Prof. Joshua Mkhululi) residing in Canada and Jamaica would like people to share their stories and memories of the deceased. If anyone has photos, they are also asked to share them.

Prof. Edwards mother is 84 years old and desparately wants to hear as much as she can about her son's life in Africa. He also has brothers, sisters, nieces and nephews who want to hear about their uncle.

Anyone who would like to share can e-mail his nephew, Michael Gardner at michaelsgardner@hotmail.com or they can e-mail me at chemiche3@yahoo.com.

Please let's share with the family the tales of their beloved who died ocean's away in a land that he loved.

3 comments:

MOSONGA RAPHAEL said...

HAPPY BIRTHDAY
to you,
CHEMI CHE-MPONDA!

April 03, 196(..siri..)
.......................
God Bless You!
.......................

Chemi Che-Mponda said...

Mosonga Raphael, thanks a lot!

Anonymous said...

Huo ndio ushenzi na upumbavu wa nchi yetu Da. Chemi. Wale wageni wanaonufaisha wananchi, wanaoipenda Tanzania kiroho, sio kipesa, huwa HAWAPEWI uraia:-( Lakini wale washenzi wa kihindi na kiraabu hawana faida yeyote nchini, wanaiba hela yetu tu na kututesa au kutuua mpaka kesho, hao ndio wanapewa uraia mbio mbio wakisha honga tu!!! Viongozi wetu wapumbavu na washenzi sana!!! Samahani Da. Chemi kwa lugha chafu....Inauma bwana!