Kaka Michuzi alipiga hii picha akiwa ameshika roho mkononi. Ndege ina mwaga mafuta kusudi iweze kutua salama kwenye Emergency landing. Habari alizonitumia ni kuwa yuko salama na kwa sasa yuko San Francisco, California.
Mnaweza kupata picha na maelezo zaidi hapa:
http://issamichuzi.blogspot.com/2009/05/vekesheni.html#comments
Yaani tungemkosa Michuzi hivi hivi! Asante kwa taarifa Da Chemi.
ReplyDeleteDaaah! Tungesikia mengine. Mungu yu mema.
ReplyDeleteHiyo ndiyo Tanzania bwana, unajua rais Kikwete alikuwa kwenye hiyo ndege na watu wamenyamaza kimya?
ReplyDeleteImagine, President anapata scare watu wanaminya kimyaaa!!!! Anyway, muhimu hakumwibia mtu kitu na yuko salama.
Rais Kikwete alikuwemo kwenye hiyo ndege. Mbona hamsemi?
ReplyDelete