Wednesday, June 03, 2009

First Couple



MAMBO SI NDO HAYO! Huko White House wanapumua sasa siyo yale mambo ya kizee zee tena...at least kwa miaka minne au nane!

4 comments:

  1. Huyu Raisi kachaguliwa na dunia nzima si wamerikani tu, maana anapendwa kila kona kila nchi duniani.

    ReplyDelete
  2. Wametoka mwaaaa! safi sana Michele na Barack

    ReplyDelete
  3. Humu mama kila kukicha anazidi kuwa mkali tu! ila hata first lady wetu ni balaa, sema anaendekeza maunene

    ReplyDelete
  4. mama salma ana miaka mingapi? michelle ana 44 kama sijakosea.....nina uhakika salma atakuwa mdogo tu.Lakini muonekano mhhh

    aafaynye mazoezi ndio maana jk anamtafutia mke mwenza

    ReplyDelete