Monday, June 29, 2009

Ndege Imeanguka Karibu na Comoro

UPDATE - Msichana mwenye miaka 14 ndiye abiria pekee aliyepona katika ajali hiyo! http://blogs.usatoday.com/ondeadline/2009/06/survivor-of-indian-ocean-crash-may-be-14yearold-girl.html

***********************************************
Duh! Ndege enye abiria 150 imeanguka karibu na visiwa vya Comoro katika Bahari ya Hindi. Ndege ni ya Yemenia Air (kutoka Yemen). Kwa sasa hakuna taarifa kuna waliopona.

**********************************************************

Yemeni plane crashes off Comoros, 150 on board

By Ahmed Ali Amir Ahmed Ali Amir –

MORONI (Reuters) – An airliner with 150 people on board belonging to Yemeni state carrier Yemenia crashed in the Indian Ocean archipelago of Comoros Tuesday, a senior government official said.

"We don't know if there are any survivors among the 150 people on the plane," Comoros vice-president Idi Nadhoim told Reuters from the airport at the main island's capital Moroni.
Nadhoim said the accident happened in the early hours of Tuesday, but could not give any more details.

"There is a crash, there is a crash in the sea," said an unnamed official who answered the phone in the Yemenia office in Moroni. He declined further comment.
An airline official in Yemen declined to comment.

Yemenia, which is 51 percent owned by the Yemeni government and 49 percent owned by the Saudi Arabian government, flies to Moroni, according to flight schedules on its Web site.

Kwa habari zaidi someni:

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8125664.stm

http://blog.seattlepi.com/aerospace/archives/172602.asp?from=blog_last3

5 comments:

  1. Uliwahi kusema kuwa zitaanguka nne ndipo zoezi likamilike, haya saa, hii imeanguka na juzi huko Marekani ipo nyingine ilianguka (japo ndogo) haya, mbili hizo...
    Da Chemi unataaluma ya utabiri?

    ReplyDelete
  2. amepona mtoto mchanga mmoja, bado wanaendelea kutafuta maiti na waliosalimika.
    nakumbuka ulisema Da Chemi... Da Chemi Kumbe nawe mkali, duh... naona unashindana na shekhe Yahaya.

    ReplyDelete
  3. katika post zako za nyuma ulisema kuwa kawaida ndege huanguka nne. mimi nikaona ni uzushi tu labda ulishiba sana ugali huko us. sasa leo naona kuna hii tena sijui ulipitia kwa yahaya hussein?

    hatahivyo yapo matumaini ya kupata walio hai jitihada zinaendelea.

    ReplyDelete
  4. Ajali zingine zitazofata lazima ziondoke na Da chemi!!!UTABIRI.

    ReplyDelete
  5. Hii ajali haijapewa coverage kubwa kwenye vyombo vya habari vya nchi za magharibi kwa kuwa imetokea Africa. Watu wengi hapa USA hawajui kuwa kuna ajali nyingine ya ndege imetokea!!!!
    M'bwanga, Montgomery county.

    ReplyDelete