Friday, June 19, 2009

Tanzanian Blogger Faces Jail Term

Wadau, nitarudisha ile posti ya Ze Utamu Blogger kudakwa, mara ikithibitishwa kuwa ni kweli. Kama nilivyosema, nilitumiwa hiyo habari kwenye e-mail. Baada ya kuitazama vizuri zikuona 'accredited source'. Kwa sasa hebu ona macho yalivyo kwetu na hiyo suala ya Ze Utamu.

Ila kama ni kweli kuwa jamaa wa Ze Utamu wamekamatwa basi lazima niseme, serikali wamefanya kazi. Ila nachosikitika ni kuwa ilibidi wakubwa wadhalilishwe ndo hatua ichukuliwe. Inanikumbusha kesi ya Mzee Punch, huko UDSM mwaka 1987. Punch alizimwa baada ya kumchora Mzee Ruksa na Mzee Kawawa!

Mnaweza kusoma habari na maoni zaidi Jamii Forums:

http://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/31691-ze-utamu-blogger-under-arrest.html

***************************************************************
Tanzanian blogger faces jail term over manipulated photographic images

posted by J. Nambiza Tungaraza on Jun 04, 2009 categories:

The Nairobi Chronicle reports that a Tanzanian blogger faces jail after publishing manipulated photographic images depicting Tanzania’s President Jakaya Kikwete engaging in lewd sex acts.
According to Habari Leo , a Tanzanian newspaper[sw] the country’s police are seeking help from Interpol in tracing the owners and publishers of the blog.

Ze utamu (www.zeutamu.com), probably Tanzania's most controversial blog, came to the limelight by publishing a mixture of Tanzanian Diaspora gossip, nude and sex photographs of well known people as well as name-and-shaming articles. While it attracted many readers, the blog has also attracted criticism.

Some bloggers are of the opinion that the authorities did not care when posts about ordinary citizens were posted at ze utamu. A comment from a blog post at Watanzania Oslo blog that posted the Habari Leo article about the police hunt for ze utamu blog owners says:

Mtandao huu wa ze utamu umkuwepo kwa muda mrefu sana na watu wengi wasio na hatia (raia wa kawaida) wamedhalilishwa sana kupitia mtandao huo kwa picha zao kuwekwa bila ridhaa yao. nyingi ya hizo picha ni za utupu na hata zile ambazo siyo za utupu ziliwekwa bila ridhaa ya wahusika. hivi kuwekwa picha ya rais Kikwete ndo kile chombo kinachojifanya cha usalama kinakurupuka kuwasaka wenye mtandao? […]unafiki mkubwa na ufisadi aina nyingine huu. kudhalilishwa ni kudhalilishwa, ama iwe ni raia tu, kiongozi wa kawaida na hata rais.

Ze utamu has been around for a long time and many innocent people (average/normal citizens) have been shamed through this site when their photographs were posted without their consent. Most of them are nude photographs and even those that are not were posted without consent. Is it true that only by posting the president’s photos has prompted that institution that claims to be the security and regulatory body to jump and pretend to search for the site owners? […] this is hypocrisy, degrading people means degrading people, be they ordinary citizens, leaders or even the president.

That point was also raised by Happy Katabazi :
… wiki hii katika mtandao wa www.zeutamu.com mtandao ambao umejipambanua kwa ajili ya kupachika picha za utupu za watu wa kada zote na wanaotembelea mtandao huo huchangia mawazo yanayohusu maisha binafsi ya faragha za watu…Na wakati mtandao huo ukiendelea kujipambanua mamlaka husika zimekuwa zikiukenulia meno mtandao huu hadi wiki hii ulipotundika picha ya kumdhalilisha rais wetu, ndipo mtandao huo umedhibitiwa kwani hivi sasa hata ukiufungua haufunguki.

… www.zeutamu.com site, a blog that has become popular by posting nude pictures of people from all walks of life while those who visit the site give opinions about people's private lives…And while the site became more popular, authorities [have been done little] until this week when they posted a degrading photograph of our president, and now the site is under control, even when you click the page won't open.

During the heyday of ze utamu some bloggers started campaigns to stop the blog, like the Anti-utamu [sw].

As the police search continues and despite having many readers before its disappearance, bloggers and readers who have openly come out to support Ze Utamu owners can hardly be found - at least at the time of writing this post.

http://advocacy.globalvoicesonline.org/2009/06/04/tanzanian-blogger-faces-jail-term-over-manipulated-photographic-images/

11 comments:

  1. KWELI HII HABARI HAIJADHITISHWA HATA VIONGOZI WA JESHI LA POLISI HAWAKO TAYARI KUSEMA CHOCHOTE KUHUSU SUALA HILI

    ReplyDelete
  2. Serikali wanabania habari kwa vile ni mtoto wa mkubwa!

    ReplyDelete
  3. Kwenye hili la zeutamu, nawahakikishieni Tanzania haiwezi kufanya lolote kwa sababu mbili kuu,
    1. Tanzania hatuna any Cyber Legistlation. Yaani hatuna sheria ihusuyo mambo ya
    mtandao, hata akikamtwa atashitakiwa kwa sheria gani?.
    2. Kama kosa limetendeka nje ya mipaka ya Tanzania, mahakama za Tanzania
    hazina any jurisdiction za kusikiliza shauri lililofanyika nje ya Tanzania. Uthibitisho
    wa hili mtaushudia hivi karibuni kwenye kesi ya Prof. Mahalu jinsi ule ushahidi wa
    mtandao utakavyo pigwa chini kwa sababu sheria yetu ya ushahidi "Evidence Law"
    haiutambui ushahidi wa aina hii.

    Kitu ambacho serikali inaweza kufanya ni kumshitaki huko huko aliko, kosa la kweli
    ni kama angeweka picha za watoto under "child pornography" lakini hizi za mtu
    mzima, sijui.
    kisa hiki cha zeutamu sasa ndio kitatufungua macho tuko nyuma kiasi gani, Sheria
    ya Magazeti ya mwaka 1976 haiwezi lolote hapa ni kapa kapa kapa tupu.
    Pasco

    ReplyDelete
  4. "Kwa mujibu wa Sheria ya Kimataifa, mtu anayefanya kosa la uhalifu kama huo anaweza kushtakiwa kwenye nchi ambayo kosa hilo lina madhara".

    Source: http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=12754

    ReplyDelete
  5. Dada Chemi ,

    I am more than disappointed with what you have done. Frankly speaking, this man's reputation, and worst of all, his life is in danger merely because of your YELLOW journalism. What you have done is contrary to what many expected from you. As a result, your blog is now an embodiment of tabloid news. Seemingly, self distraction is more important to you than gathering the facts; mind you, if you don't have the facts, you don't have the right to speak.

    Dada Chemi, you owe this man and his family an apology.

    ReplyDelete
  6. Mdau 5:29am, to answer you concerns, the info was from an e-mail circulating on the internet. I am not the author as you seem to think. And as I said, I will re-post it once the source is verified. My mistake was posting without realizing there was no valid source. Once I realized there was no valid source, I took it down. However, news these days spreads in seconds thanks to the net.

    Thanks for your concerns.

    ReplyDelete
  7. Hapa Dada Chemi unaendeleza Uafrika wetu,yaani ugumu wa kukiri kosa.Japo news zinasafiri fasta,je kwa mfano hiyo ingekuwa habari inayomuhusu nduguyo ungekimbilia kuichapisha kabla ya kupata ukweli?

    Sikubaliani nawe unaposema wewe sio author.Who authors this blog if not you?Excuse kuwa chanzo ni email haina nguvu kwavile sidhani kama uli-copy na ku-paste email hiyo kabla ya kusoma inazungumzia nini!

    Na kama chanzo ni email,kwani basi hukuweka hiyo bayana tangu mwanzo?Matokeo yake watu wametafsiri kuwa hiyo ni habari iliyokamilika ukizingatia kuwa imetoka kwako ex-mwanahabari mwandamizi.

    Au ndio haraka ya kuvunja habari?Japo umeiodnoa habari hiyo (huku ukisema kwa hakika kabisa kuwa utaiweka tena itakjapothibitishwa) elewa kuwa madhara makubwa sana yameshafanyika.Na tatizo la internet ukiweka kitu,hata ukikifuta bado kitakuwepo.Uthibitisho huu hapa http://globalvoicesonline.org/2009/06/19/tanzania-blogger-arrested-for-publishing-manipulated-images-of-the-president/

    Let's hope you don't get sued.

    ReplyDelete
  8. Chemi,
    I am of the opinion that, if this guy was being wrongly accused, not only would he have vehemently denied the allegations, but even his strong family would have defended with everything they have got.
    Why there is no statement from alleged individual or his family?
    Anyway, this bit of news in someway confirms to me that the authorities may have their man:
    http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=3703

    ReplyDelete
  9. Hiyo habari ni kweli kabisa. Waache kumtetea kwa vile ni mtoto wa mkubwa. Mtasikia mara punde.

    ReplyDelete
  10. MMMhhhhhhhhhhh!!!!!!Zeutamu hawezi kamatwa kwani anakila mbinu za kimtandao kijifanya kuwa yuko UK.Zeutamu hakuwahi kuwa Uk maranyingi ni USA na China.Sasa waandishi wapumbavu wanasema amekamatwa wekeni picha yake.Mnatishia watu kuhusu interpol.Wala hawawezi fanya kazi za kipumbavu kama hizo.

    ReplyDelete
  11. kwa anony wa 9:36 PM..the accussed owner does not owe any body any obligations!!!! yeye kazi yake ni kuachia vyombo vya sheria kufanya kazi yake na dada chemi kama one of the ppl aliepost habari bila kuwa na uthibitisho wowote will be one of the ppl sued na nakuhakikishia dada chemi u will rot in jail! yani mmechafua sana jina la mwenzenu! hivi mnajua huyo kaka anafanya kazi gani?the way he is busy??mnakurupuka tu! kama ni yeye mbona hajachukuliwa hatua?mbona bado yupo uk na anafanya kazi kama kawa?mbona polisi ubalozi vimekanuusha?kimbelembele kitawaponza . Just wait, and you know what>>GOD defeats His Evils and YESSSSSSSS EVILS WILL DIE BEFORE THEIR TIME!wait and see..na dada chemi mark my words huyo zeutamu mwenyewe atakapokamatwa na kutangazwa hadharani utafanya nini na umeshachafua jina la Malecela??utafanya nini?UTAJUTA SANA!

    ReplyDelete