Friday, September 25, 2009

Soko Kuu la Morogoro 1908

Hii pichani ya soko kuu la Morogoro mjini iliyopigwa enzi za Mjerumani.

10 comments:

  1. looks better abd cleaner that what we've got 100 years later

    ReplyDelete
  2. LOL! So true, It looks cleaner than what's there today! It probably was!

    ReplyDelete
  3. Source??? DaChemi

    ReplyDelete
  4. Da chemi umetuma maoni yako kwa michuzi kuhusu Ghadafi, unapoandika maoni pumba usiwe unaandika jina lako. ni wazi kwamba una tatizo la "impartiality and objectivity". Uwezo wako wa kufikiria "rationally" ni mdogo sana na unatuonyesha sisi wadogo zako tunaokuheshimu siku nyingi udhaifu ulio nao.
    Umewahi kusema kweli wakenya siyo watu, umewahi usema wanaijeria wote ni matapeli tuu, umewahi kusema "indicate" kwamba Idi Amin ni stupid kwa kuwa hajui kiingereza.
    Sasa unapoandika ubwabwa kama huu, tumia anony kama wapuuzi wengine wanavyofanya wakiandika utumbo wao.

    Mdau, Embe

    ReplyDelete
  5. Na wewe anony 2:45am, napingana na wewe. Da Chemi hajawahi kusema Idi Amin ni stupid, alimkariri mtu aliyesema hivyo, na pia hajasema hayo mengine uliyosema. Inaelekea unasoma haraka haraka au una upeo mdogo wa kuelewa unachosoma na maana ya "". LOL!

    ReplyDelete
  6. Wabongo ni mabingwa wa kupondana!

    ReplyDelete
  7. Jongwe, I think you are responding to the comment that I posted on Michuzi blog about why Americans don't want Gaddafi in their country. I pointed out the bitterness over the Lockerbie bombing. There was no need for me to point out American misdeeds (which are many) as you pointed out like the Iranian jet liner, accidental bombing in Belgrade as it was not relevant to the Gaddafi issue.

    One thing I would like to point out is that Americans are quick to excuse the misdeeds of their country. People forget that in the 80's then U.S. President Ronald Reagan bombed a house in Libya where he thought Gaddafi was sleeping that night. Some 30 people were killed including one of Gaddafi's daughter's. I always said he would revenge the killing of his daughter and next thing you know there was Lockerbie. Strangely even though the bomber was released, and there has been all this commentary about why Gaddafi should not sleep in a tent in New York, no one mentioned the Reagan bombing. And if I were to follow the style of some posters then I could even say it was unfair for Americans to drop Atom bombs on Hiroshima & Nagasaki, Japan to revenge Pearl Harbor.

    When making a brief comment there is no need to write a long detailed essay.

    ReplyDelete
  8. "When making a brief comment there is no need to write a long detailed essay."


    even though it will mislead the public to a false reality?

    ReplyDelete
  9. Watu wengine bwana! Huyo Jongwe vipi?

    ReplyDelete
  10. Nimefurahi kuona picha ya soko la Morogoro ulivyokuwa enzi za mababu zangu. Lakini sijafurahi kuona jinsi watu wanavyomkanda Dada Chemi hapa. Jongwe unataka kuonyesha kuwa umesoma au nini? Hebu piga picha na digrii ubandike kwa Michuzi utajisikia vizuri.

    ReplyDelete