Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Sunday, October 04, 2009
Kitchen Party - You Tube!
Wadau, nimekuta hii kideo You Tube! Sijui ni Kitchen Party, au ni show kwa ajili ya watalii au ni nini. Pia kulikuwa na mjadala umepigwa wapi, Zanzibar, Tanga, au Kenya?
Da kemi hii ngoma si ya kitchen party kwani kwenye pati ya jikoni wanaume marafuku! hii ngoma ni ngoma ya tanga na znz ndio wanacheza sijui ni msewe au ni ngoma gani lkn maaaru ni huko TA na ZNZ,
Jamani mi huyo wa anaye fanya slow motion agh! ananiacha hoiiii yaaani wee acha tu Da Kemi naona uliangaliaaaa weeeeeeeeh! then ndio ukasema ngoja ni share na wadau. POaaa kabisa
Yanini kuumiza vichwa? wakumuuliza huyo hapo michuzi maana namuona kaja na kikamera chake hapo mpaka chini yao, tizama vizuri utamuona! na atupe jibu hapo ni wapi? lakini nafikiri ilikuwa kwenye shoo ya mavazi/khanga party kitu kama hivi hapo bongo.
Hiyo Inaitwa BAIKOKO ni ngoma y akutokea tanga hiyo, bila hiyo ngoma harusi au kitchen aijawa, yaani siku hizi wanapendwa sana kama ilivyokuwa enzi za issa matona kwenye maharusi, kila sehemu hawa wanaalikwa
Nadhani majibu sahihi anayo MICHUZI alikuepo hapo anachukuwa taswira, anaeonekana 1:30 mpaka 1:32
ReplyDeleteDa kemi hii ngoma si ya kitchen party kwani kwenye pati ya jikoni wanaume marafuku! hii ngoma ni ngoma ya tanga na znz ndio wanacheza sijui ni msewe au ni ngoma gani lkn maaaru ni huko TA na ZNZ,
ReplyDeleteJamani mi huyo wa anaye fanya slow motion agh! ananiacha hoiiii yaaani wee acha tu Da Kemi naona uliangaliaaaa weeeeeeeeh! then ndio ukasema ngoja ni share na wadau. POaaa kabisa
ReplyDeleteYanini kuumiza vichwa? wakumuuliza huyo hapo michuzi maana namuona kaja na kikamera chake hapo mpaka chini yao, tizama vizuri utamuona! na atupe jibu hapo ni wapi?
ReplyDeletelakini nafikiri ilikuwa kwenye shoo ya mavazi/khanga party kitu kama hivi hapo bongo.
Du Chemi hii ni kali, dahh, ila kama mambo yaneyewe ya kitchen party ndio hivi wife marufuku kwenda huko, mwisho haendi tena daahh....
ReplyDeleteDar es Salaam hapo! Humwoni Michuzi!
ReplyDeleteHiyo Inaitwa BAIKOKO ni ngoma y akutokea tanga hiyo, bila hiyo ngoma harusi au kitchen aijawa, yaani siku hizi wanapendwa sana kama ilivyokuwa enzi za issa matona kwenye maharusi, kila sehemu hawa wanaalikwa
ReplyDeleteKumbe kwenye Kictehn Party kuna mambo!
ReplyDeleteBahati yao hakuna wanaume walioenda kuwabaka huko jukwaani!
ReplyDeleteNikoa mke wangu lazima apitie Kitchen Party! Makubwa haya!
ReplyDelete